@ashmar_quotes: Usimwambie mama yako kila huzuni unayoibeba moyoni. Siyo kwa sababu hakupendi kuisikia, bali kwa sababu moyo wake hubeba maumivu yako mara mbili. Wewe unaweza kulia leo na kesho ukapata faraja, lakini mama anaweza kubaki akiihifadhi huzuni hiyo kwa muda mrefu. Mzazi wa kweli huumia anapoona mwanawe anaumia, na mara nyingi maumivu yako huwa makubwa zaidi ndani ya moyo wake kuliko hata unavyoyahisi wewe. Hivyo, mshirikishe kwa hekima, na unapomweleza shida zako, mpe pia matumaini. Maana utulivu wa moyo wa mama ni sehemu ya baraka katika maisha ya mtoto.♥️❤️.#fyp #contentcreator #follwmypage #mom #loveyou @TikTok @tiktok creators