@mulastar1: Huyu ndyo mtoto wa Wema Sepetu na Whozu

mulastar255
mulastar255
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 10:22:40 GMT
187349
18476
577
151

Music

Download

Comments

princess.mathias20
princess mathias :
leo Tik tok yangu imejaa post za wema na whozu tu🥰🥰
2026-06-13 12:52:20
376
user57139738502423
mina madini :
kanasauti kama ya wema😊
2026-06-13 12:33:13
136
lidyamanota
Lidya q👑_Manota. :
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hakika MUNGU yupo tena Akutunzie mwanawo🥰🥰🥰🙏🙏🥰🙏😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️❤️❤️❤️💪💪💪
2026-06-13 19:58:59
0
zayabbassi
Zayrat abaya😍 :
Nimefurahi sana hadi machozi
2026-06-13 12:20:09
85
jackvijorapambe_01
JACK VIJORA PAMBE MOROGORO :
Mungu ❤️❤️🙏kwaajili ya TAIFA Naomba niseme asante baba asante 🙏
2026-06-13 12:16:18
111
sabrinaibrahim951
breenah :
hii sauti ni tamu jamani ikilia katika nyumba yako ☺️☺️hongera wema
2026-06-13 12:14:16
41
officialnallah
🦋𝒇𝒊𝒏𝒆 𝒈𝒊𝒓𝒍🦋🦋 :
nani mwingine anafurahi kamaa mimi🥺
2026-06-13 16:19:47
37
fabianfaustine3
fabianfaustine167 :
smahan jamana ni AI au uhakika
2026-06-13 12:34:18
10
user15529403499007
Re- karie :
mungu nikumbuke nipate mtoto kama wema
2026-06-13 13:48:40
6
user27813986135825
prisca cleophace :
Mungu ni mwema anajibu maombi asante Mungu l'm happy for you
2026-06-13 11:19:52
7
ww.tiktok.comblackcutty
black cutty :
naona furaha ya wema usoni mpaka moyoni mwake jaman
2026-06-13 12:48:05
8
faydha255
🦋💜Fau💜🦋 :
Cjui ata nafurahishwa na nn🥰🥰🥰congratulations
2026-06-13 11:04:43
10
shaymaashabani
sheymaa :
Asante mungu we ndio kila ktu
2026-06-13 12:22:35
7
evemasaka
Eve Masaka :
rahaa tunasikia sisi tulibarikiwa kusikia hii sauti kupitia matumbo yetu mungu awabariki na nyie mnahitaji hii baraka
2026-06-13 12:56:30
5
machiro019
Ma chiro :
God is Good🥰
2026-06-13 12:06:31
1
user2100163415341
user2100163415341 :
amina
2026-06-13 12:32:49
1
jg79587
JG :
hongera zake jamani 🥰
2026-06-13 11:12:57
1
young.mama82
Young Mama😍😘🤩 :
happy for you wema🥰🥰🥰
2026-06-13 18:51:38
0
anith741
❥༻ Mideko❥༻ :
Ila Mwenyezi mungu Ana makusudi Ndio maana kaondoa manunu ili upendo uamie kwa mwanae Atakae mzaa Ila wakati wa Mungu Ni sahihi 😭😭🙏🏻
2026-06-13 14:23:57
8
rozey2540
rozey254 :
Asante Mungu kwa kumtumia wema kama ushuhuda ulio hai🙏🙏🙏🙏hakika unajibu maombi
2026-06-13 12:17:18
9
tihoism
Mr. "T"(Tihoist) :
kumbe manunu alikuwa ameziba nafasi🤣
2026-06-13 12:29:09
7
kaslim143
KASLIM KASLIM :
20/20
2026-06-13 16:07:42
0
pattnah8
baby mom :
mashallah ♥️sauti kali kama marehem manunu😂
2026-06-13 18:06:09
2
ebenezaebeneza545
Ebeneza ebenezaebeneza91@gmail :
aki mungu ni mkuuu haki
2026-06-13 17:05:30
1
najmaomary4
najma omary🌹🦋🍓 :
ongera yake mwaya ana nguvu kama ajazaa na mecap juu
2026-06-13 20:13:43
1
To see more videos from user @mulastar1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About