@nm.2312:

Ngọc My
Ngọc My
Open In TikTok:
Region: VN
Saturday 13 June 2026 10:45:52 GMT
29
13
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @nm.2312, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

KIPI HUNA KATI YA HIVI: MAONO, NDOTO, MALENGO, MIPANGO, NA MIKAKATI? AU HUNA VYOTE? So, nimejifunza kuwa kuna watu wa aina 4 kuu. Jiulize wewe upo kundi lipi? KUNDI LA KWANZA Hawa hawana maono (vision) wala ndoto (dreams)❌, wala malengo (goals)❌, wala mipango na mikakati (strategic plans)❌ za kuwafikisha wanakotaka. Yes. Wapo wengi tu. Kwa kifupi hawajui kwa nini hawajafa bado. Seriously ukimuuliza kwa nini bado uko hai atakwambia
KIPI HUNA KATI YA HIVI: MAONO, NDOTO, MALENGO, MIPANGO, NA MIKAKATI? AU HUNA VYOTE? So, nimejifunza kuwa kuna watu wa aina 4 kuu. Jiulize wewe upo kundi lipi? KUNDI LA KWANZA Hawa hawana maono (vision) wala ndoto (dreams)❌, wala malengo (goals)❌, wala mipango na mikakati (strategic plans)❌ za kuwafikisha wanakotaka. Yes. Wapo wengi tu. Kwa kifupi hawajui kwa nini hawajafa bado. Seriously ukimuuliza kwa nini bado uko hai atakwambia "ni mipango ya Mungu". Unaweza kusema hawajajitambua bado. Unaweza kusema hawajielewi. Unaweza kusema hawajui hata kwa nini waliumbwa. Hawa ndo hawajui hata tafsiri ya mafanikio. Wengi wao wanaishi kwa kufuata mkumbo tu. Ana muda wa kutosha kujadili kuhusu skendo za wasanii, nchi ina amani au haina, ligi za mpira, Makonda anafaa au hafai. Maono hana. Direction ya anakopaswa kwenda hana, ila anajua kombe la dunia inabidi liende kwa nani😞😞 Anataka kufanikiwa tu kibiashara. Kwa vision ipi rafiki? Kwa dreams zipi sasa? Kwa goals zipi na plans zipi? It will never happen. Unless unafikiri SpaceX is a joke au MeTL imekuwa empire kwa bahati mbaya! KUNDI LA PILI Wapo ambao wana ndoto tu peke yake (dreams)✔ ila hawana malengo (goals)❌ wala mipango❌ na hata MAONO juu kule hana (vision)❌ Mfano ana ndoto ya kuwa mwanamuziki wa kimataifa. Crazy dream! Ok sawa. Swali ni ILI IWEJE MWISHONI (hili ni swali linalotafuta VISION). Lazima ukae chini kubuni Goals na Plans za kufikia ndoto yako. Na lazima utafute END RESULT (VISION). Mfano una ndoto ya kuwa mtu mwenye maarifa ya mambo mengi. Hiyo ni dream. Unasema ili uweze kueleimisha watu Africa hii njia SAHIHI za mafanikio. Hiyo ni VISION. So vision hiyo itakuongoza mpaka mwisho. Haya HAPO NDOTO UNAYO na VISION UNAYO. Malengo gani umeweka? Ok unasema hivi mwaka huu lengo (goal) ni kusoma vitabu 50 kwa mwaka ili kuongeza maarifa. Kitabu kimoja kila juma. Plan zaidi je? Hapa iko hivi unaweka PLAN kuwa kila kitabu unachukua idadi ya kurasa unagawanya kwa (siku) saba. Mfano kitabu kina kurasa 420. So utasoma kurasa 60 kwa siku. Everyday.. Nadhani umepata picha.Hiyo ni PLAN. Haya STRATEGY GANI UTATUMIA? Unasema kila nikiwa kwenye gari au Bajaj nitasoma kila nikiwa peke yangu nitatafuta dakika 10 tu niendelee nilipoishia. See? Muda utatoka wapi? Jibu ni DREAM na VISION vitafanya uepuke upuuzi wote! Uwe focused. Are you following? KUNDI LA TATU Wapo ambao wana MALENGO TU ✔ hawana VISION ❌ wala DREAMS ❌ hawana PLANS NA STRATEGIES (mipango na mikakati)❌ ya jinsi ya kutimiza malengo yao. HAWA NDO VIDEO HII INAONGELEA ZAIDI Anataka kuingiza Tsh milioni 50 mwaka huu ili mwakani afanye kitu cha maana kabisa. LENGO zuri kabisa. Lakini hana plan. Hata strategies. Hana dresms wala VISION inayomwongoza. Hawa ndo unakuta wanacomment AMEN akikuta Facebook mtu amepost picha ya maburungutu ya pesa. Anadhani kuTYPE AMEN ndo roho nzuri😀🙌🏽 Ukiwaza hivi vitu utapata wapi muda wa kufatilia mambo yasiyoisha ya siasa na wasanii kweli? Unaishi na akili imejaa sura ya Gwajima na Makonda siku nzima. Huna hata VISION BOARD chumbani ila una picha ya team yako ya mpira. Eti team YAKO. YAKO? Are you sure? KUNDI LA NNE Wapo ambao wana maono na ndoto✔ wana malengo✔ na mipango mingi na mikakati kibao tu ✔ tu ila NIDHAMU ya kuyafanyia kazi wanashindwa❌ Yes. Unaweza kugawanya kurasa za kitabu na usisome vile vile. Hapo ni ishu ya UDHATIi watu wasiofanyia kazi mipango yao shida ni HAWANA DHAMIRA YA DHATI kutimiza ndoto zao japo kwa nje wanaonekana kama vile wanaenda kwenye ndoto. Sasa sijui wewe unajiweka kundi lipi. Najua huwezi kujidanganya mwenyewe. Unajijua ulipo. Tafuta kuunganika na watu wanaokupeleka kwenye mafanikio yako. Ni hasara kubwa kutembea duniani kama mtu aliyepotea. Na kuwa mtu unayeongea tu malengo au mipango mingi huna DISCIPLINE. Ukifocus tu kupata hela ndo unabet unapata 50M or even 200M na unakufa maskini vile vile bila impact yoyote. WHAT'S YOUR VISION? WHAT ARE YOUR DREAMS? WHAT ARE YOUR GOALS? WHAT IS THE PLAN? WHAT IS THE STRATEGY? Semper Fi, Andrea G. Muhozya Tanzania, East Africa WhatsApp +255 788 366 511

About