King whozu 👌wacheche kama ww wengine wengesema ametoa,ni kweli magomvi kipindi cha mimba ni shida kubwa kwa ujauzito,mungu amlinde mtoto wenu
2026-06-13 16:42:45
15
Kasanda Mayeka :
tenaaaa
2026-06-13 17:34:14
3
Leila shwaaah :
Duh 🥺🥺🥺🥺
2026-06-13 18:02:52
2
cash madam 💸 :
king whozu
2026-06-13 16:12:46
4
SHIRAZ :
Daah mm mwenzenu mbona mimba yangu azitoki kwa stress, maana mimba zangu zote Stress na kitoto, kina zaliwa kwa uchungu hazitoki, au ndio mimba Za masikini😅
2026-06-13 15:59:30
12
Witness Nhuguti :
🤣🤣🤣nilisema watakujasema mtt kafa
2026-06-13 17:11:53
4
To see more videos from user @_apple_nia, please go to the Tikwm
homepage.