hapo wambea wte wanaona hya😃😀Mungu ni mwema kila wakat hongera sn wema
2026-06-13 13:28:25
1
marrie❣️ :
adi rah
2026-06-13 13:39:24
1
Dad's Daughter :
kiti cha wozhu kipo wazi mbingunii amepambana kwa uwezo wa mungu ad wema kapata lkn waja leo sijui leo wanasema nini
2026-06-13 15:02:46
2
Sarah Chipungu :
hatimae mgumba amezaa,hongera kwake walisema hatozaa,mungu si binadamu,nimefurahi saaaa ana🥰🥰👍
2026-06-13 14:16:38
1
A 💕a kisingo :
maneno yalizungumuzika mengi san
2026-06-13 14:12:02
1
user84743021662 :
ongera dawema n'a whozu hakika mungu ndo anastaiki sifa n'a kuombwa maneno ya binadamu siku tusijikatie tamaa kwa kile tunachoitaji hakika tutapewa kwa wakat ongera madame wema sepetu🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼