alificha ujauzito wake hadi dakika wa mwisho mashallah ♥️
2026-06-13 12:41:37
27
@ Britney Shorn :
Waliosema ww n tasa,sasa waje waone vile Mungu ametenda
2026-06-13 11:50:12
142
🤭🤭 :
mungu kamchukua manunu kakupa mtt mashallah
2026-06-13 12:00:28
227
ms nurushan 😍 :
mwenyezi mungu awape wanawake wote watoto yarabb 😭
2026-06-13 13:03:55
64
Aisha :
Mungu sio mchoyo jamn huwa anasubir tu wakati ufike tuzid kuwa na subra kila mtu atapewa anachohitaji
2026-06-13 12:20:44
87
nyakwar japur :
ila mungu hata Mimi ipo siku utanibariki 😭😭😭😭😭😭
2026-06-13 12:39:53
47
JULIANA❤️ :
mi najikuta nalia mungu aniunganishe na balaka hii
2026-06-13 12:33:17
26
paty💋💓 :
whozu alimpenda wema kupendwa raha bhna ata kizazi nacho kinakuwa karibu kma haupendwi kizazi lazima kienda mbali kwa xbbh ya sterss hongeran san ♥️me nimefurah xn
2026-06-13 13:21:10
6
Teddy Makassy :
Mungu wa mbingu za mbingu atukuzwe
2026-06-13 12:23:40
19
barbie maah🥰 :
mashaallha 🥰🥰🥰
2026-06-13 13:26:25
1
Marvelous ❤️ :
Aunt Ezekiel ana roho nzuri sana huyu dada🥰🥰
2026-06-13 12:21:36
14
🍏 :
🥲😢😢😭😭 nalia Kwa furaha
2026-06-13 12:21:49
7
Neema mollel :
real breaking news 🗞️
2026-06-13 12:32:40
0
mirry1420 :
Another to shed tears of joy with a stranger,indeed God is able always 🥰🥰
2026-06-13 14:00:58
0
Irene Richard :
naskia vzuri
2026-06-13 14:03:57
0
xchn :
jmn Aunt Ezekiel siki nyingi sana alisemaga Niko na Wema Hadi apate mtoto...na machozi anayoyatoa Sio unafiki jmn.....anamaanisha...ila na mimi nimelia kwa Fursha🥰
2026-06-13 13:04:20
10
miss h💕💕💍 :
Natamani hilo chozi la auntie ezekia liwe linatoka moyoni maana watu tumeumbiwa unafiki mwingi sana
2026-06-13 12:15:07
5
am zeymana 🌺 :
Jmn lulu diva yuko wap jmn
2026-06-13 12:48:25
5
zuuh :
whoz kampenda wema vzur et ukpedwa vzur unazaa
2026-06-13 12:23:06
37
Hawa Abdallah :
ambao hawaja furah ni wachawi jamn hongera nyingi kwa whouz
2026-06-13 11:54:14
18
Renee👑collection :
baaaai nimeamin. congratulations dear
2026-06-13 12:14:45
9
Doto Rajab :
Asante mungu sijafa nimemuona wema kapata fulaha yamilele eeeh Allah mkuzie mtoto wake🥰🥰🥰
2026-06-13 11:53:01
36
To see more videos from user @fraverofficial, please go to the Tikwm
homepage.