@kishkionlinetv: Shangwe zilitawala ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya Spika kutangaza uwepo wa Uwakilishi wa Iran Tanzania katika kikao cha maendeleo na bajeti ya taifa cha mwaka 2026/27 mjini Dodoma. Kwa miongo mingi, Tanzania na Iran zimeendelea kudumisha uhusiano wa karibu wa kidiplomasia, kiutamaduni na kijamii uliotawaliwa na kuheshimiana, ushirikiano wa maendeleo na urafiki wa dhati kati ya wananchi wa mataifa haya mawili. ________________________ Tufuatilie KISHKI ONLINE TV kwenye: Instagram → KISHKI ONLINE TV Facebook → KISHKI ONLINE TV TikTok → KISHKI ONLINE TV ▶️ YouTube → KISHKI ONLINE TV #mtazamo #KishkionlineTv #nuruyadiniyako