@demuuhofficial1: #Mwigizaji nguli wa filamu na Mwanamitindo, Wema Sepetu na mchumba wake Oscar Lelo 'Whozu' wameweka wazi kuwa wamepata Mtoto wa Kiume, habari iliyopokelewa kwa furaha kubwa na Mashabiki wao pamoja na Wadau wa burudani. Wema na Whozu, ambao wamekuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa takribani miaka minne, walithibitisha ujio wa Mtoto wao leo Juni 13, 2026 kupitia kurasa zao za Mitandao ya Kijamii kwa kushiriki ujumbe wenye hisia na shukrani kwa Mungu. Kupitia akaunti yake ya Instagram, Wema alichapisha picha ya mguu wa Mtoto huyo huku akiandika maneno yanayoashiria furaha na mshangao wa kuona ndoto yake ya kuwa Mama ikitimia. Naye Whozu aliandika; "Sio kuwa tu wazuri sana mbele zake lakini ilimpendeza aonyeshe ukuu wake kwenye uso wa dunia kuwa makadirio ya Wanadamu hayawezi kushinda kudra zake... Hakika Mwenyezi Mungu amejidhihirisha na kutupa kibali, Hongeraa Shunu wangu na Akhsanteni nyote mliokuwa mkituombea, Mungu Yupo na wanaomtumaini tusichoke kukesha tukiomba maana yeye ni mwenye huruma siku zote Kwa upande wa Whozu, huyu anakuwa Mtoto wake wa pili baada ya yule wa kwanza aliyempata na Tunda, huku kwa Wema Sepetu akiwa Mtoto wake wa kwanza, jambo ambalo limekuwa likisubiriwa kwa muda mrefu na mashabiki wake wengi #TRENDING #MTOTO #WEMASEPETU l
Demuuh news
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 12:14:48 GMT
Music
Download
Comments
selfloner :
weee Leo nimelia sana😭
2026-06-13 14:22:33
7
Trizahmercy :
nikakumbuka kanumba🥰
2026-06-13 18:00:54
2
fadhila❣️❣️❣️💘 :
honger dada am the next kulia hyo machozi😭😭😭😭
2026-06-13 17:13:57
2
Phina cute🥰🙏🙏🔥🔥 :
Aminaa hakika mungu n mwema siku zote kawanyamazisha kmya kama Song ya rose mhando wanyamazishe bwana🙆🙆🙏 hongeraaa dadaang kpenzii ❤️❤️
2026-06-13 13:49:33
4
Eva mmary :
Hongera mwanangu Mungu wetu halali wala hasinzii mawazo yake si ya mwanadamu unapomwita anaitika
2026-06-13 16:18:30
2
Jasintha :
Dah mungu ni mkuu
2026-06-13 19:31:29
0
mum2 :
hongera mrembo ❤️❤️❤️
2026-06-13 18:54:41
0
enerly :
Mung asante kwa ukuuu wako
2026-06-13 13:31:32
1
black 7 :
🥰🥰🥰🥰🥳🥳🥳🥳mung akukuzie mtoto wang🥳🥳🥳🥳
2026-06-13 17:21:57
0
user7950818455545 :
hongera😁
2026-06-13 15:46:36
0
Mwanaliza :
machooooozi ya furaha 🥰
2026-06-13 17:02:32
0
@Jasly Tz🥰 :
hongera sana kwake, namtakia kiila la kheri katika malezi🙏
2026-06-13 17:25:34
0
mayirfan :
hakika mungu ni mwema
2026-06-13 15:27:17
0
zulfa :
mungu hunyamazisha wanadamu
2026-06-13 15:53:29
0
DJ_TS :
hongera sana
2026-06-13 16:39:19
0
sauda wa lingame :
waliokua wakimsema tasa jmn Dunia usikate tamaa
2026-06-13 13:52:09
1
mammyto🩷💕 :
🤲🥹🥹
2026-06-13 13:05:26
0
Lacheal :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-13 19:11:09
0
To see more videos from user @demuuhofficial1, please go to the Tikwm
homepage.