@zahmid_tz: Waislamu wa kweli ikitokea wamekwazana na kugombana hufanya suluhu mapema kabla ya siku 3 Ukijipamba na sifa hii utakua ni mwenye kufaulu Mzungumzaji:Sheikh Jamaludin osman 💧 Sasa unaweza kutufuatilia YouTube kupitia chanel ya ZAHMID TV, karibu tujumuike kwa pamoja kwenye Ulimwengu wa kiislamu 🌙 ⭐️Follow ili ufahamu uislamu wako kupitia mawaidha, nasaha, darsa, Qur’an na hekima mbali mbali. #uislamu #islamicpost #mawaidha #islamicvideo ⭐️FOLLOW ⭐️ @islamic_halawah @zahmid_tv @nuru_ya_peponi @guide_qalam @islamic_rihla

Ulimwengu_wa_kiislamu
Ulimwengu_wa_kiislamu
Open In TikTok:
Region: MA
Saturday 13 June 2026 12:18:01 GMT
10000
744
7
180

Music

Download

Comments

djamilaradjabu430
جَمِللَ :
mimi kweli kwaayo yalinishinda kwasababu mume ataki tufanye suluhu myezi Saba atuongeyi kisa nilimuazimaga milioni tisa tukaelewana atarudisha akanizulumu nambaka ivi akamuwa kunipa talaka kisa yakudayi hela yangu
2026-06-14 17:04:09
3
me..happy68
me. happy :
Mashaallah
2026-06-13 14:42:11
0
rahmashem
Rahma Shem :
wangu 2yrs
2026-07-15 11:08:34
0
amune.khamis.amun
Amune Khamis Amune Khamis :
Ni kweli Tena sana assalam aleikum vpi Hali yako mzima
2026-07-02 23:13:36
1
allyrashid861
allyrashid :
🥰🥰🥰
2026-06-13 13:42:53
0
abdi.key16
abdi key14 :
🥰🥰🥰
2026-06-28 01:27:41
0
To see more videos from user @zahmid_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About