@hopetygatz: Nilikuwa namheshimu sana Mzee Shayo lakini baada ya kumzungumzia vibaya Coy nimeshusha sana vyeo vyake. Kuna namna napata wasiwasi kuwa huenda ni kiki tu, kuna jambo lao linakuja , lakini kama ni uhalisia basi Mzee Shayo amezingua mno. Coy Mzungu ameanza kuipambania tasnia hii kabla hata ya kukutana na Diamond, Investors wote wamewekeza baada ya kuona kijana ana akili, timu yake iko vizuri, wazo zuri na ana uwezo wa kuongoza na hatimaye kurudisha fedha za investors, unadhani kwa nini Diamond hakuwekeza kwa wengine ila alimuona Coy tu? Sometimes tuache wivu, huyu Mzee Shayo mwenyewe amepewa shavu na Coy ila hivi sasa amekua anajiona ana umuhimu zaidi kuliko Coy. Sometimes tusisubiri mpaka watu wafe then tuwape maua yao, tuwape wakiwa hai. #hopetygatz #hopetygatzupdates