@shangazifoundation: Bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi

SHANGAZI
SHANGAZI
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 13 June 2026 12:42:31 GMT
2152350
97461
4246
18274

Music

Download

Comments

dalali_yusuph
dalali_yusuph :
😂😂Tuliocheka mpaka machozi tujuane
2026-06-15 08:02:45
1241
i.d.g.f.b.u
gjhfryjnvdyjhhshshdh :
my favourite character 🤣
2026-06-15 18:08:11
70
sangolee.1
Eng. Sangolee :
Tiktok ya mchana ni tofauti na tiktok ya usiku😁😁😁😁
2026-06-14 12:41:16
285
its_khayrath
Khayra__th 💕 :
TikTok ya usiku ni nzur 😂
2026-06-14 18:44:57
152
maloji.tz
Malo fact :
nilizani nmecheka kumbe kwa comment ndo kunachekesha zaidi
2026-06-14 19:45:38
236
firstborn_227
BENY :
Mlango wa bati usilale Wazi
2026-06-14 06:22:01
243
chosenliz7
Chosen Liz :
Nani ame-notice wote hawajasahau "mlango" Kwa sentensi zao
2026-06-13 13:50:35
178
nancykimnana
Nacy🌸 :
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu jamani mimi
2026-06-14 17:46:55
59
ms___naima
ms___naima :
Saaa mimi saa saba usiku hii nacheka kama mchawi jamani 😂😂😂
2026-06-15 22:37:03
123
user42544012470564
Zainab Chaupole 😇 :
bahati wazi namlango uwe waz🤗
2026-06-14 17:56:13
58
user9704691118176
Eunice Ngissa :
bati wazi na mlango uwe wazi usilalie ndani
2026-07-21 18:14:20
11
jordanjoseph450
Jordan Joseph :
usilalie mlango kuna wazi anakuja kusoma komenti😅😅
2026-06-15 21:47:02
39
glory46652
Glowree :
baati ya mlalio usilale mlango wazi
2026-06-14 12:53:59
48
nasonmtanzania
Nason_the_NBF :
Bahati, uwazi na mlango uwe wazi usilalie ndani!. 😂😂😂😂😂😂 nimechela sana nilivyofungua comments section dooo ni noma nilikuwa Sina mpango wa kucheka kabisa Ila comments zimenifanya nicheke na kurudiarudia kuwasikiliza...... by the way kunao wale wamepatia makofi kwao🖖🙌🙌👏👏👏
2026-06-14 12:44:32
66
y_vanny360
Y_vanny 😎🤏🇹🇿 :
hiz Mix by Yas 😂😂😂
2026-06-14 08:52:03
10
livinglegend.sm
Simon01 :
Nashukur nimefanikiwa kufuta Tiktok kwenye simu yangu
2026-06-14 17:49:05
10
mzazi255
Mzazi255 :
nimejikuta tu nacheka na sijui nacheka nn
2026-06-15 19:16:00
5
ashliciousgaxlyne
June 26🎂🎁🎉💝 :
Me nashindwa kuwatetea 😅💔
2026-06-15 15:08:04
9
peterlabia.85
peterlabia10 :
mlango usiwe na bahat usiache waz☺️
2026-06-16 10:22:21
7
mdigo39
mdigo :
nimefiwa jaman lakin nimejikuta nacheka
2026-06-14 19:12:00
16
rucresia.mkirya
Rucresia💕 :
😂😂😂😂ila awa ndugu zangu Bora nilizaliwa mjini 😄😄😄
2026-06-14 10:45:21
57
user3312334522051
linah🦋 :
usilwaziwe mlwangozi
2026-06-16 17:25:27
7
bibianayona
Bugatti 369 :
Mamaeeeeee Hii ndyoo Mix By Yas😂😂
2026-06-14 09:23:06
7
user4232420822519
Aney dairy farm :
Mimi ni huyo mwenye vest nyeusii
2026-06-14 13:47:53
8
mamaney805
Mama Ney💞 :
🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka alf sijui nacheka Nini jamn
2026-06-18 04:44:32
6
To see more videos from user @shangazifoundation, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About