sum of interior angles is equal to exterior angle. jumla ya pembe za ndani ni Sawa Sawa na pembe ya nje
hivyo njia rahisi ni kuchukua 122+147 =S.
2026-06-13 16:57:49
5
sunrise :
big up
2026-06-16 12:34:29
1
Johnson :
njia nzur sana,,hongera mwl
2026-06-14 15:16:18
3
Dius :
...Alternative....kamilisha hiyo Triangle ya chini total angles iwe 180° i.e 33°+58°+x = 180° so angle ya juu itabakia 89° so ange S itakuwa 180°+89°=269°
2026-06-15 12:38:47
2
Kenzoh1916 :
S+91°=360°
2026-06-13 15:20:29
3
maybe 🤔 :
asante jaman Kila sku najifunza kitu kipya
2026-08-29 09:31:51
0
mwakamota snr :
safi sanaaa
2026-06-14 10:44:20
2
Officialjunior@Maa :
mmmh hujaelezea vizuri 😂
2026-07-24 11:54:29
0
Mgeruka Shomari :
unanikumbusha mwl shabn ngalawa
2026-08-15 18:45:01
0
Aaron wiliam :
sawa
2026-07-15 18:55:05
1
AAA :
Sasa Mwl mbn unazunguka sanaa , 122+147 = 269°
2026-08-17 17:14:49
1
samsonswai385 :
big up
2026-07-03 03:53:07
1
king l :
Congu👏👏👏👏👏👏
2026-06-13 15:18:46
2
mp :
Hii ni nzuri sana sahv kuona wadau wengi wanajitokeza kufanya somo hili lionekane jepesi hakika tutafika mbali sana kwenye kuinua hisabati