Nashangaaga tu pale mnaposhindwa kutofautisha account kuwa hacked na account kuwa restricted (deleted), account ikikwambia suspended, barned, deleted, complomised hii ni moja kwa moja kampuni husika ndio wamekufungia kwa sababu za wewe kukiuka sheria zao. Ila
2026-06-13 21:33:27
6
kipajimtaani :
Usipende kugusa link za x
2026-06-14 16:57:34
5
Mr.peterson🇹🇿🇧🇷🇨🇩 :
tusome jmn tusome jmn
2026-06-14 14:54:49
3
Kaduga Sports Wear :
Nimezungusha sura sana na bado ikaondoka😂😂
2026-06-14 13:37:16
3
man alone :
nilikwambia kaka change number na email 📌cheki dm. ilikutumia yaan badili kila kitu
2026-06-15 17:22:29
4
KUNDOWERA HQ 🦀🦀 :
mm nilipotea ya watu 120k yqni sikulala
2026-06-14 12:39:14
3
user2020 :
Mamaee 😂
2026-06-13 16:57:49
5
mashuka_collection_tz :
Dooh 😳😳😳😳
2026-06-13 14:19:30
3
Tizó_26🦂☠️✝️ :
eti NIT 😁😁😁
2026-06-13 14:24:54
5
Zuu_outfit_tz :
Yaani nilizungusha uso mpaka nikachoka familia yangu ila nimeisamehe maana napoteza mda wala awana wanachoweza kukuzungusha tu kichwa mpaka unachoka
2026-06-14 04:46:19
2
®️ :
Hadi mseme poooh😎😎
2026-06-14 12:08:55
1
Salum Fahad Jr :
hawawez kuchukua bila kuwaruhusu.. itakua kuna email umejibu bila kujua acha kuclick links usizozijua
2026-06-14 07:52:24
1
ALLYSON_CLASSIC_FURNITURE :
noma sana 😁
2026-06-13 14:18:46
4
SAMSUNG_AREATZ🇹🇿 :
INSTAGRAM WANAKUFUNGIA SABABU UNATANGAZA NGUO ZA WASAMBAA 😂😂 🙌 ZA BEI RAHISI
2026-06-13 14:10:49
7
Babuu classic 🌠 :
🤣🤣🤣🤣 Ume gusa anapo umaa
2026-06-13 19:00:05
3
mozzee og :
naweza kuku saidia
2026-06-13 21:37:45
1
Manuells :
Anayekulipua ndo wa kwanza kukwambia naweza kukurudishia account nipe 500k😂
2026-06-13 15:35:27
4
mikeprosper Lucas :
wame soma cyber udom ifm 😂
2026-07-07 19:54:24
0
FastFix Mobile Repair :
zungusha had jicho lkn Anko wabad watapita nayo 😃😃
2026-06-17 10:35:40
1
@gody, :
endelea kufungua fungua kila link
2026-06-13 14:34:31
2
YONAJOURNEY :
🤣🤣
2026-06-13 18:05:51
2
hamzado._ :
😂
2026-06-13 14:38:38
2
Sam Tz👨🔧 :
🤣🤣🤣🤣🤣
2026-06-13 14:09:19
1
To see more videos from user @mkubwa_tozzy, please go to the Tikwm
homepage.