wallah hii dua ukiisoma kwa yakin basi ALLAH anakupa utakacho muamini ALLAH
2026-06-14 02:01:14
47
رشينة :
Nilimuomba allah kwa dua hii anijaalie mtoto wa kike mzur mwenye nywele nzur mweupe subhaanallah mpaka nikikumbuka wakat naomba na majibu mlopata
allahu akbar
2026-07-13 19:10:32
36
princenssih :
nanii aandike kiswaili please
2026-07-14 19:15:29
2
🍀M.I.M.I🍀 :
niandikie hiyo dua🥰
2026-06-13 16:51:30
15
Taty :
Aameen Yaa Rabbi 🤲
2026-07-16 11:00:52
2
Hi Luke :
mashaalah
2026-07-10 18:23:11
1
mimiiy1234 :
In shaa Allah kheri Mungu atueke kwny njia iliyonyooka Allahumma aamiin 😍
2026-07-14 13:28:11
4
chef 👸 misshtih🦋🇨🇦🦋 :
amiin yarbi
2026-07-17 19:05:30
2
sam poul :
😁😊😊😊 napenda sana mfunz yko
2026-06-13 15:26:34
5
drogba :
hii Dua aliisoma Nabii Musa AS. mimi niliiomba leo nikapata laki Tano kwa njia nisiyoitarajia.
2026-07-01 09:26:31
10
user3462378885952 :
ALLAH TUJALIE MWSHO MWEMA
2026-07-20 07:36:45
2
🎀Chinaa💞💕 :
RABBI INNI LIMAA ANZALYTA ILAYYA
2026-06-23 21:13:29
7
Aminaa💞 :
maa shaa Allah
2026-06-30 14:12:54
2
AHMED :
MashaAllah
2026-06-13 16:33:44
7
zuuh :
hii dua ndio ilifanya niajiriwe alhamdulillaah na bad inanipa matumain makubw🥰
2026-07-13 12:23:47
4
mariam Abdallah :
Masha Allah
2026-07-11 09:47:29
1
Nayma Salim :
amiin Alihamdulillah 🤲🏼 🤲🏼 Allah Aqubaruh ☝🏼☝🏼☝🏼☝🏼
2026-06-13 17:36:13
9
user9033168399981 :
amiinii
2026-07-13 04:38:49
1
simbasimba215 :
mashaallah
2026-07-09 11:14:12
1
chidy 01 :
kumbe iyo Dua ina maana hiyo
maana nimekua naiomba na najibiwa na napewa kheri ambazo sijazitegemea wallahi bila kujua maana yake
2026-07-11 17:33:48
4
Stars Queen Shuu :
Biidhnillah taala
2026-07-13 19:17:31
1
kamigwe :
al akhii nasri jazakallah, nikweli usemayo, nakufatilia sana nikiqa na bando
2026-07-18 13:08:12
1
@Young Sudeis :
Insha'Allah
2026-07-20 16:27:06
1
maryam maryam :
Shukran sana
2026-07-11 11:52:30
1
Maria Ivone Teixeira :
insha Allah
2026-07-09 10:43:51
1
To see more videos from user @arabicservice, please go to the Tikwm
homepage.