@hilluhcute: Ugali wa ki iraq😋

Mjukuu wa bibi hilluh
Mjukuu wa bibi hilluh
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 14:42:36 GMT
285155
9598
981
1237

Music

Download

Comments

igmwasala255
Igmwasala255 :
Kwa mara ya kwanza naona ugali wa kunywa😁
2026-06-14 09:42:49
222
mummyp411
🎀Ma p 🥰🎀 :
Wakurya wenzangu mmeona uji
2026-06-13 19:03:30
852
maurisee34
calachoor🥷 :
qwantee 🙌🥰
2026-06-14 15:14:04
0
tiavakule
Tiavakule :
Mmh ndo maana hamna afya shubamitii
2026-06-13 16:36:41
387
beldencrosby
Bel :
kwaiyo huwa mnakunywa ugali 😂
2026-06-14 11:49:03
9
user589825298
user881992980620 :
huu ugali kwa msukuma ni uji
2026-06-13 19:08:08
182
sarahpeter802
🎀sarahpeeh🌸 :
Si mseme tu ukweli kama unga umeisha ndani
2026-06-14 10:47:32
62
elizabethlameck65
Li_zzyqueen🌸 :
Wasukuma wakiona huu ugali watalia mpka kamasi🥺🥺🥺
2026-06-14 16:55:22
12
mashy255
Mashy255 :
Kwakwel hapo toen wenu wangu niachien kwenye sufuria nitaongeza unga😅
2026-06-13 22:17:44
45
sheisdion1
__COOLGAL 🎀 :
Si muongeze tu unga jmn 😭😩
2026-06-13 20:18:51
68
becky__divah
becky__divah❤️ :
Ata wachagga apo tunaongeza unga😂
2026-06-14 10:10:56
14
user424783282
Minaa :
msukuma mie sishibi et apo 😁
2026-06-14 06:29:09
13
silent.killer3969
silent killer :
Mimi nime focus na sauti ya ugali tuu ukisongwa😊
2026-06-13 20:21:22
61
hellenjackson37
hellenjackson37 :
qwanteee
2026-06-14 17:50:33
0
kyliediallo
KYLIE :
Heeeee sisi kisandawe qwantee ndo kusonga 🥰🥰🥰😂
2026-06-14 14:16:47
1
coxbaby99
coxbaby :
gwateeeeeeeeeee hiyooooooooooo
2026-06-14 14:45:28
0
user5285525999345
Ally MADIBO :
wadodoma wanacomment wap ?
2026-06-14 17:17:31
0
major.kiddie
Major Kiddie :
Huo si ugali ni uji mzito
2026-06-13 19:28:04
11
ireni505
EYES OF WAKANDA :
nikikojow Mal moja njaa
2026-06-13 15:21:01
56
girrafe323
☘️Giraffe ☘️ :
Me napenda ugar mlaini lkn huu uji sinywiii 😂😂
2026-06-13 19:48:44
11
joycengasapa
Joyce Ngasapa :
wahehe tunaita ubaaga
2026-06-13 19:01:23
30
sweetnoory
sweetnoory :
huo sio ugali ni uji mzito hapana msukuma hawezi kula uji hivo
2026-06-14 08:49:51
5
lucky_mziwanda
Lucky mziwanda :
sauti niipendayo mm iyo ya pwa pwa pwa 🥰
2026-06-14 05:23:07
37
estereliniongoze
estereliniongoze :
jmn wairaq tujuan apa🥰
2026-06-13 21:39:36
11
To see more videos from user @hilluhcute, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About