@auraglowingtz: Kuna Harufu Unatamani Wewe Ndo Unukie Hivyo Milele.. Assume Mafuta Yako Ndo Yawe Yananukia Hivyo Kila Siku😋 Tupo Sinza Madukani😎 #tanzaniatiktok #skincare #sheabutter

AURA GLOWING TZ🌟
AURA GLOWING TZ🌟
Open In TikTok:
Region: ZA
Saturday 13 June 2026 15:10:51 GMT
13222
351
26
28

Music

Download

Comments

domina.challe6
Domina Challe :
boss izo zote unachanganya na Shea ndio inapata lotion au inakuwaje
2026-06-17 11:46:31
0
geegervy
geegervy :
vanila oil na iyo kopo shea butter sh. ngap pamoja?
2026-06-17 12:32:01
0
mariamabdul2009
mariamabdul2009 :
Nahitaji hayo mafuta. unapatikana wapi?
2026-06-17 06:01:28
0
namarystore
@namary_store101 :
Shea pamoja na oil ni how much?
2026-06-15 18:57:17
0
chloexlr24
chloexlr1 :
nahitaji niko mwanza namba ya wakala pls
2026-06-16 10:10:15
0
janethmnyili
janny💕 :
unauza bei gani izo essential oil
2026-06-13 21:06:22
1
shamlati
shamlat :
nataka hii
2026-06-16 11:04:03
0
user19idavy
I davy :
how much
2026-06-13 16:20:18
0
relicious63
Relicious :
Hyo si blueband😢
2026-06-16 05:17:08
0
spacle0
Gloria silaa :
niko arusha nahitaji hiyo kilo moja shear butter
2026-06-16 20:32:12
0
selinamgonda
xchn :
akiii mwanangu atakula..kama alilamba shower jelly jmn...waliosema weka mbali na watoto hawakukosea
2026-06-13 15:52:17
0
wwww.tikock
🐝MRS🦀WALKER🍒 :
ayo mafuta unanip bure nikinunua shea butter kilo moja
2026-06-13 17:19:56
0
msia.temba
Siathriftcollection :
Zinafaid gani
2026-06-13 16:00:30
0
To see more videos from user @auraglowingtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About