@festongadaya: Je unajua unaweza kupata matibabu kwa kutumia kadi yako ya NSSF? Huduma ipo karibu nawe. #tanzaniantiktok #swahilitiktok #kenyantiktok #kenyantiktok🇰🇪 #tanzania
mimi application yao inanigomea kujiunga sasa sijui shida nini?
2026-06-14 08:46:10
0
Goldenboy😇 :
thank bro
2026-06-14 05:53:02
1
FungoGB :
Hii ni Kenya au?
2026-06-14 04:23:59
1
Martha G :
Hii hapa
2026-06-14 05:53:28
1
annalitos :
kwa Dar es salaam, hospital zipi wanakubali hiyo bima ya NSSF?
2026-06-14 12:35:30
0
saary :
watoto mwisho umri miaka mingapi
2026-06-14 08:35:30
0
Jr son ❤️💖🤦♂️✍️ :
tofauti na Bima ya afya je kupata nyumba inawezekana
2026-06-14 10:38:43
0
Jerry MVP :
Kwenye Afya NSSF salute sana. Issue ni kwenye kuzipata hela zangu. Kwa nini nisubiri mpk umri wa kustaafu ili nipate pesa yangu ikiwa nitaamua kuacha kazi! Angalau wangekuwa wanatoa ile 10% yangu, then hiyo 10% nyingine ya muajiri ndio ikaingia kwenye pession ya uzeeni. Not fair at all
2026-06-14 05:50:49
3
tony_sylva28 :
Kwa hiyo ela ya kutibu wanakata kwenye izo izo ela zangu za nssf?
2026-06-14 06:26:05
1
KimNa361289 :
Nilikuwa mwanachama wa nssf nikatoka je naweza kujiunga tena??
2026-06-14 07:18:19
1
kimosa :
kaka nilikua natumia nssf na sasa nimehamishiwa pssf, still ile hela iliopo nssf siwez kuitoa mpka nistaafu?
2026-06-14 06:04:07
2
Edna Godson :
siwapendi NSSF nawachukiaa sanaaaa
2026-06-14 07:28:50
1
JOA :
kaka Mimi ni dereva bajaji na nilikua nawaza kujiunga hili swala likoje na mm Niko Zanzibar sijajua kama zipo huku?
2026-06-13 15:41:32
1
zennyabdallah :
Bima zenu zinashida hii ya kuchagua hospital
2026-06-14 05:29:03
2
Samia_M☯️ :
Mmh nakumbuka kuna ospitali nilienda alikuja mzee akakataliwa na hio kadi
2026-06-14 06:15:29
1
Neema lyimo :
kipengele ni kutumia hospital moja tuuu
2026-06-14 06:10:01
1
dullahtameer :
Kwanini baadhi ya watu application ya nssf haionyeshi kiasi cha pesa ulizokua nazo wakat mwanzo ulikua unaona.
2026-06-14 06:29:14
1
Martha G :
Hi hapa mpaka usajiliwe kwenye hospital 1 mie ndio inanikera
2026-06-14 05:54:10
1
Senkyz :
Tatizo la NSSF ni hicho kipengele cha kuchagua hospitali, hakifai kwa sababu kuna kusafiri na pia huduma za hospitali zinabadilika
2026-06-14 03:07:45
1
Your fav🌺🧚🏻♀️ :
Tatizo hawataki tueke wazazi😫
2026-06-14 07:20:18
0
To see more videos from user @festongadaya, please go to the Tikwm
homepage.