@doctornoel: Maoni yako ni yapi?

Dr. Noel, MD
Dr. Noel, MD
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 15:26:48 GMT
277733
9582
250
1130

Music

Download

Comments

dylam.luva49
LYRICS TOK💤 :
kwaiy me mke wang simfikishagi jamn 😁
2026-06-13 19:28:27
122
duskodalla5
🅓︎🅤︎🅢︎🅚︎🅞︎🅓︎🅐︎🅛︎🅛︎🅐︎ :
hamna ukweli mtoto majaliwa ya mungu mungu ndie anapanga utapata wakiume au wakike
2026-06-14 09:27:18
48
user25128510815540
Mzalendo TZ :
unapenda kubishana mkuu
2026-06-13 18:52:32
41
janee1872
Janee :
nachoka mimi mama enu
2026-06-13 21:46:25
15
silverbird10_10
Silverbird :
yani hata biology ya form 3 hajasoma hakusoma
2026-06-13 16:49:04
11
ndega56
🅔🅜🅜🅐 :
haya bas Happy New year simu ilikua kwa fundi
2026-06-13 16:29:01
18
chapa_fxking
Chapa :
Brother Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-06-13 20:01:31
5
bestdriver_tz
best_drivertz :
mungu akupe umri mrefu sana na afya tele uendelee kutupa madini nakukubali nakuamini sana
2026-06-13 15:48:11
23
jona_b_tz
Jona_b_tz :
walivyo serious 😁😁😁😁
2026-06-14 19:44:35
8
bhokewankyo
bhokewankyo :
SIO KWELI
2026-06-17 07:07:32
0
mm167882wszsbj
M&M❤️🔐 :
Ni kweli asli 100/100✅
2026-06-13 21:04:54
4
mar_k2341
mar_k2341 :
haiwezekani
2026-06-13 20:18:50
3
mwasamila0
mwasamila :
tunaoamini mungu ndo anajua kila kitu tujuane
2026-06-19 12:43:57
1
salamy_001
salamy001 :
nani anawapa airtime hawa, watu
2026-06-18 11:48:01
2
shaz30492
shaz :
siyo ya kweli
2026-06-16 00:51:40
1
jaremiahrobert
jaremiahrobert :
Chief mmi nakukubali sana of coz ni sahihi maelezo yako
2026-06-22 15:00:58
2
mysoul_myworship
heroson_vincent :
You were created to make Clarifications in the society 🔥🔥 Congrats bro.
2026-06-13 16:36:50
8
motherhouse_store1
Motherhouse_store :
ila kweli kwa 100% aisee
2026-06-19 17:26:05
1
user1438835163083
Paul Maemba 🇹🇿 :
hawa ni madaktari kweli
2026-06-20 10:09:01
1
asteriakimaro725
Asteria Kimaro :
syo kweli😃😃😃
2026-06-14 05:24:10
1
newton.kimaro
Byser KITOSI 4️⃣👊 :
I kali wakuu 🙌🙌
2026-06-15 05:55:37
2
afyazonebrand2026
@AFYA ZONE BRAND :
Umetuandama sana kijana
2026-06-13 19:00:36
0
cley_jaclebu
Cley :
daaaah😂😂😂
2026-06-13 15:39:42
2
To see more videos from user @doctornoel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About