Yaani kwa ufupi TAG ya Sasa hivi Ina udunia mwingi MUNGU tu atusaidie
2026-06-13 17:44:36
12
Agape love ❤️ :
Askofu MTOKAMBALI yupo sahihiiii🙏
2026-06-15 18:23:59
8
Prince Samweli hamisi :
pia wachungaji wanatupoteza sana minaona bora Mungu aseme na mimi mwenyewe kuliko kuangaika na nyie
2026-06-14 10:12:52
13
josephine :
Mungu atusaidie sasahivi hata hatujui tushike wapi??
2026-06-14 08:47:20
9
Wema-sepetu :
Lakini mapambo si hayatakiwi, maana hata pete ni pambo. Kama ni agano maneno mbele ya Mungu yanatosha kudhihirisha watu wameoana
2026-06-14 01:30:11
7
Fortunate _Fashion_Hub👗👚 :
Yan saiv Mungu sema na mimi tu sisikilizi chochote nachanganyikiwa
2026-06-14 20:16:18
4
safary frank :
amina asikofu uko sahii kabisa mungu akutunze
2026-06-15 13:58:34
2
nyotaramadhani1🇧🇮🇨🇩🇦🇺❤️ :
Asante yesu yangu nimekuwa na shindwa kuivuwa lakini Mungu amenipa onyo maranyingi ju ya pete ya ndowa Namshukuru Mungu kwa sasa nimeivuwa
2026-06-14 08:23:06
6
mr OleThEgReAt😎 :
MTOKA MBALI YUPO SAHIHI 1000%
2026-06-14 19:56:28
13
Elisha Kato :
Baba pia; Nguo za thamani ndio za Shilingi ngapi? Maana hata hio TZS 15,000/= ya koti uliosema; ni pesa ambayo Kuna familia zinaitumia kuishi kwa wiki nzima (hivyo inae thamani kubwa sana pia)
2026-06-13 19:03:41
11
서현 :
Pete ni ipagani
2026-06-14 03:51:53
2
_jämès³ :
TAG🔥
2026-06-14 04:08:51
10
Ministerabeladam_ :
pete totally ni upagani
2026-06-14 14:00:46
3
Janeth Mbilinyi :
Mungu mtunze askofu wetu Mtokambali
2026-06-14 16:16:56
8
Mrs Baraka 💞 :
mnaosema pete ni upagani sio kweli
2026-06-14 15:33:35
5
roger :
Asante Baba Mtoka mbali
2026-06-16 03:04:08
2
Ayolaizer :
Nasimama na Bishop Mtokambali 😊
2026-06-19 09:53:35
1
Meshack Masawe :
yupo sahihi kabisa ulitaka Aseme nini
2026-06-14 13:39:06
5
deusimorisi :
pete ni upagani kivipi maana ya upagani nini?
2026-06-14 11:33:02
4
Pride of God🛐👑 :
MUNGU atujulishe njia sahihi
2026-06-14 18:02:07
2
Sawere Masaki :
ubarikiwe sana mtumishi umefundisha sahihi
2026-06-13 19:07:58
7
Yona Mwakyusa :
Postar Obed Uko sahihi Pete Ni Upagani 🥰
2026-06-14 14:50:07
1
Witness stima :
Mtoka Mbali yupo sahih
2026-06-14 19:55:05
2
To see more videos from user @obedjkatunzi375, please go to the Tikwm
homepage.