@koalyrics01145: Hey hey halo maa laiti ungekuwa unaniona #tiktoktanzania #kenyantiktok #bongofleva #CapCut

KOA-lyrics 🎶
KOA-lyrics 🎶
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 16:50:17 GMT
3769
249
1
14

Music

Download

Comments

clintonbilly20
BILLY.CLINTON. :
🥰🥰🥰
2026-06-13 16:53:12
0
To see more videos from user @koalyrics01145, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imemhukumu kunyongwa hadi kufa Barnaba Daud Mtweve (56), mkazi wa Wilaya ya Chunya, baada ya kupatikana na hatia ya kuwaua watu wawili na kujaribu kumuua mtoto wake katika tukio la kikatili lililotokea mwaka 2024. Hukumu hiyo ilitolewa jana Juni 3, 2026 na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya, Joachim Charles Tiganga, baada ya mahakama kuridhika kuwa upande wa mashtaka ulithibitisha makosa dhidi ya mshtakiwa bila kuacha shaka yoyote. Mahakama ilielezwa kuwa Machi 31, 2024 majira ya saa 2:30 usiku katika Kijiji cha Kiwanja, Kata ya Mbugani, Wilaya ya Chunya, Mtweve aliingia katika nyumba aliyokuwa akiishi aliyekuwa mzazi mwenzake, Herriety Lupembe (37), mwalimu wa Shule ya Msingi Mbugani, akiwa pamoja na Ivone Tatizo (15), mwanafunzi wa Kidato cha Pili wa Shule ya Sekondari Isenyela, na Harris Barnaba Mtweve (6), mwanafunzi wa Darasa la Kwanza wa Shule ya Msingi Ken Gold. Katika shambulio hilo, mshtakiwa aliwashambulia kwa kutumia kitu butu na kuwapiga kichwani, hali iliyosababisha vifo vya Herriety Lupembe na Ivone Tatizo. Mtoto Harris Barnaba alinusurika baada ya kujeruhiwa vibaya. Baada ya kutekeleza uhalifu huo, mshtakiwa alifunga milango kwa nje na kuondoka na funguo za nyumba hiyo. Wakili Rajabu Msemwa, Wakili George Seni na Wakili Dominick Mushi, waliowakilisha upande wa Jamhuri, waliiomba mahakama kutoa adhabu kali kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho kwa watu wengine na kusaidia kudhibiti vitendo vya mauaji pamoja na ukatili dhidi ya watoto. Akitoa taarifa kufuatia hukumu hiyo Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya SACP Benjamin Kuzaga amewahimiza wananchi kuendelea kutoa taarifa za uhalifu na kuwafichua wahalifu ili kusaidia juhudi za kuzuia na kutokomeza vitendo vya kihalifu katika jamii. Kamanda Kuzaga pia amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa kujitokeza mahakamani kutoa ushahidi pale wanapohitajika, huku akitoa onyo kwa watu wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu kuacha mara moja, wakisisitiza kuwa uhalifu haulipi. #knews24updates  #sautiyajamiichanzochaukweli

About