@paster.danieli:

paster danieli
paster danieli
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 17:25:45 GMT
293220
8908
222
804

Music

Download

Comments

shannyshannie0
shannyshannie860 :
mpka hapo ni nishajua hakuna mtu anaenda mbinguni🤣🤣
2026-06-13 19:32:31
42
mushauri.wa.rais
mushauri wa rais :
mimi hiyo dhambi ya kulala na wanyama inanitafuna 😭😭😭
2026-06-14 15:25:34
11
blessed_s0n
BhK :
Mkuu mbona Mungu alimtoa mwanae kuwa sadaka kwa ulimwengu?
2026-06-14 04:06:02
17
pekenyua
pekenyua :
hayo mambo waliambiwa walawi si sisi wa Tz
2026-06-14 07:30:38
24
john.christopher01
john :
ayo ni mambo ya walawi sisi wabongo haya tuhusu
2026-06-14 05:39:43
6
kang.joing7
kang joing :
kwa maandiko haya mungu baba ninaomba unisamehe nilisha Fanya hivyo mwanamke akiwa siku zake na mke wa mtu bila kujua
2026-06-13 18:25:41
14
kizz.man.boy.tz
kizz man boy Tz🇹🇿 :
mm.mbon nishlala naee akiwa mwezin
2026-06-14 13:18:20
2
nicklassfamily
nicklassfamily :
hayo wameambiwa walawi sisi wanyaturu haituhusu
2026-06-14 11:22:17
8
gerrald.lemakoo
Gerrald Lemakoo :
nishafanya yote sijui itakuaje
2026-06-14 11:42:45
4
user9740330903026
pertreeque 80% :
tattoo
2026-06-14 12:31:59
2
user934561579693
Sadam tz :
kwenye kulala na mke wa jirani mtaniua shida ana kuja utupu nifanyeje
2026-06-15 05:12:27
0
mandaf.a
Manda F.A🎧 :
na kunyoa nywele pembeni piah au nimeelewa vibaya
2026-06-19 02:46:21
4
queen.precious.lov
queen precious love :
usikate nywele wala kunyoa ndevu 😳 sasa itakuwaje nimesha mkosea Mungu😟
2026-06-14 19:08:41
1
davidhhando
Davidson💥 :
ko akiwa mwezini atafute pa kulala sawa kabisa
2026-06-17 18:09:40
0
godfreymngoni
Ngonifaceless channel :
kwa hiyo kulala na mke ambaye si wa jirani yako na hujajua kuna shido? 😁😁😁
2026-06-13 17:42:42
6
reginaamosi625
mponzi (o) :
eee mungu tusaidie pekeetu kamwe hatuwez
2026-06-14 17:44:08
5
july.julias69
ROPIN ELE 🔥 :
hakuna anae fika mbingu hapa nasema mimi 😂😂
2026-06-14 15:59:06
2
user1572980099971
agnes :
mbona Malawi 17 - 19 siion
2026-06-15 17:35:30
1
gasiri.jose
Gasiri Jose :
SASA MAMBO YA WALAWI NA WANAKYUSA WAPI NA WAPI
2026-06-14 18:05:17
5
glorymercy671
Glory :
kitabu gani hicho???
2026-06-14 20:14:49
1
user8694169341132
OBEDY JOHN :
kitabu gan icho
2026-06-15 22:24:12
2
msangi.baby1
msangi baby1 :
Mungu nisaidie 🙏🙏🙏🙏 nisamehe makosa yangu
2026-07-04 18:23:02
6
xiangh14
` :
😂😂 duuh mbinguni tutaenda kweli
2026-06-13 20:24:28
5
anna.joseph566
Anna Joseph :
kitabu gan mbn sion
2026-06-20 10:03:20
2
yohanatito
yohanatito :
unanikera kwanin uweki neno linatoka wapi
2026-06-14 19:26:02
3
To see more videos from user @paster.danieli, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About