@zaggynation: vijana wa saizi hawaamini habari za kuamka asubuhi kwenda kazini, wengi wao wanaingiza pesa kupitia simu zao maisha yamebadilika - @dr_ibrachenza Mtazamo wako kwenye hili ni upi? Kutazama full episodes search Let’s Impact Millions podcast pale Youtube Episode 02: Safari yangu ya Biashara, Pesa, Investment & Vision | Full Masterclass | Kutoka kufeli form 4 mpaka kuwa billionare, OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS #creatorsearchinsights #biashara #pesa #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniantiktok🇹🇿🇹🇿🇹🇿fyp