@thaer.al.attar: 🇩🇪💪🏻😍

Thaer Al Attar
Thaer Al Attar
Open In TikTok:
Region: DE
Saturday 13 June 2026 18:35:59 GMT
5869
100
3
8

Music

Download

Comments

To see more videos from user @thaer.al.attar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

TAKUKURU (M) Geita imefanya uchunguzi wa upotevu wa fedha za Serikali kupitia mifumo ya ukusanyaji mapato, ambapo kwa kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka imewafikisha Mahakamani watumishi wa Umma saba(7) ambao walikusanya mapato kupitia mfumo wa Local Government Revenue Collection Information System- LGRCIS unaotumia mashine za kukusanyia mapato ya Serikali zijulikanazo kama Point of Sale -POS kwa makosa ya ubadhirifu Klf cha 28(1) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Na. 11/2007 pamoja na kuisababishia Serikali hasara ya jumla ya Sh.78,875,110/= kwa kutokuwasilisha makusanyo tajwa katika akaunti ya Serikali kinyume na utaratibu. Taarifa Ya Mkuu Wa TAKUKURU (M) Geita Imewataja Watumishi hao waliohusika na ubadhirifu huu ni: Tatu Jeki Kijungu -Afisa hesabu wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Sylvanus Ngoya Michael- Mhasibu wa Wilaya ya Geita, Ladislaus Katuma Kamhanda- Afisa Mtendaji Kata ya Nyamalimoe Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Melina Damian Buguba-Afisa Uvuvi-Halmashauri ya Wilaya Geita,Mtani Daniel Yangwe- Mkusanya mapato Halmashauri ya Manispaa ya Geita, Allen Michael Kimaro-Mkusanya mapato Halmashauri ya Manispaa ya Geita,Mashalla Charles Nkwande-Afisa Mtendaji Kata-Kakubilo-Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Kufuatia matukio hayo na baada ya kupata vibali kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS) watuhumiwa tajwa wamefikishwa Mahakamani leo tarehe 12/06/2026 na kufunguliwa mashauri saba katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Geita ambayo yamesajiliwa kwa nambari ECO.13145/2026, ECO 13148/2026,ECO.13149/2026,na ECO.13150/2026,ECO.13151/2026,ECO.13152/2026,ECO.13153/2026 mtawalia.

About