@afyanimtajiofficial: Unasumbuliwa na choo kigumu au kukaa siku kadhaa bila kwenda chooni? Fanya hivi leo na uone tofauti! ✅ Afya ya tumbo ni muhimu kwa mwili mzima. Usipuuzie tatizo la kukosa choo kwani linaweza kusababisha gesi, tumbo kujaa na kutokujisikia vizuri. Andika “NISAIDIE” kwenye maoni kama unahitaji ushauri zaidi kuhusu afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. #FYP #ForYouPage #ElimuYaAfya #HealthyLifestyle #TanzaniaTikTok