ambaye hajalia kwa furaha hii nimchawii walahii🙌😂😂😂
2026-06-13 19:44:46
19
Crush Minah :
Whozu baba bado diva🙏🏻
2026-06-13 19:10:20
10
naki :
he is called miracle baby may God protect him 🙏 congs wema
2026-06-14 03:17:02
0
h.12kk1 :
Congratulations 🎈🎉
2026-06-13 19:59:32
2
delphysimba :
wow nimefurahi kumuona kajala
2026-06-13 20:31:22
4
G💜J :
daaaaaah mm kila nikingalia izi video najikuta nalia😔 tuu hakika mungu n mwema jmn🤗🤗🥰
2026-06-13 20:31:04
2
ANNA :
MUNGU WETU NI MWEMA KILA WAKATI MACHOZI YANGU HAYAISHI JAMAN MUNGU PEKEE NDIO ANAIJUAA FURAHA YANGU
2026-06-13 21:47:28
2
Vero Wilium :
Kila nipoona hii nalia machozi ya furaha Sana haki
2026-06-14 00:42:21
1
🌺 Dada D 💋🍉🍉 :
🥰🥰🥰🥰🥰Aaww mashaAllah
2026-06-14 02:08:54
0
💞🌸sadahZaid@🌸💞 :
yaani navuta picha hiyo filling alionayo wema mmh 👌👌anyway mungu akutunzie kitoto chako kipenz 🙏🙏
2026-06-13 19:34:09
2
Emmy :
Viguu vya Dadaangu Wema jamani
2026-06-14 01:09:56
0
Aika :
Cjui hata nalia nini ila nimefurah jmn
2026-06-14 01:22:06
0
Belinda Lubwakale :
wow
2026-06-13 19:27:38
0
es :
nimefurahi sana jamani kumwona kajala
2026-06-14 00:33:22
0
Princess Moni... :
Nmefurahi mnooo machozi yanatoka kw furaha nikiziangalia hizi video za wema. Hakika Mungu ni mwema mnoooo🥰🥰🥰Big congratulations wema sepetu.
2026-06-13 22:00:14
0
💗FANCY🫀🇺🇬💕 :
Mungu Asante kwa hili🔥💗🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💓💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍🤍💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙
yaaani alikua anaombewa na Dunia mzima.congratulations dada
🇰🇪❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
2026-06-13 20:53:16
0
AlineMusavuli🫂 :
Huyu mtoto atakuwa bonge la hansome 🥰🥰
2026-06-13 20:34:58
0
Kimberly 🇳🇿 :
Congratulations 🥰🥰
2026-06-14 01:02:34
0
Mama mwanahawa :
congratulations wema. Alhamdulillahi Alhamdulillahi Allah ni mwema ❤️❤️❤️❤️🥰🥰🤲🤲🤲
2026-06-13 20:12:13
0
assya :
tumutegemee mungu asante sana mungu nim kubwa 🥹🥹🙏🏿
2026-06-13 19:38:30
0
anjel derick :
mungu amejua kunifurahisha jmnyieee fur ahaa nilonayo aaa sijui nisemenin
2026-06-13 20:00:24
0
mis mk🥰 :
Hongera dada Wema na Allah amkuze vyema mwanetu ni furaha Kwa kweli☺️🥰