Habakuki 2
1 Mimi nitasimama katika zamu yangu, nitajiweka juu ya mnara, nitaangalia ili nione atakaloniambia, na jinsi nitakavyojibu katika habari ya kulalamika kwangu.
2 Bwana akanijibu, akasema, Iandike njozi ukaifanye iwe wazi sana katika vibao, ili aisomaye apate kuisoma kama maji.
3 Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.
4 Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake.
🙏🙏🙏🙏
2026-06-14 11:11:54
11
lee :
iam happy for you wema sepetu god bless your son
2026-06-15 04:59:40
1
Zuu Dullah mayra :
mashallah whozu kidume
2026-06-14 12:10:29
0
Aby :
nimefurahi sana sana kajala alivyoenda kumuona wema💖
2026-06-15 09:27:43
1
grace de cute 🥰 :
mungu nimkubwa siku zote hongera sana ❤️❤️❤️
2026-06-15 05:45:21
4
Suzy🥰 :
hogera san mumepamban we😄ma
2026-06-14 11:43:42
2
luizapriscus :
Mungu ni mkubwa siku zote had leo amekuheshimisha honger san 😘😘❤️❤️
2026-06-14 12:20:37
6
miss randan :
paula na ww dada angu mshike sana yesu
2026-06-14 10:58:49
0
Queen Lee 👸 :
mungu akupe maisha maref we pamoj na family jaman
2026-06-14 19:50:14
2
teddy iras :
asant mungu kwaniaba ya wema Asante sana jaman
2026-06-13 21:33:49
4
Ney :
mngu akulinde wewe na mtoto wako nawapenda wote
2026-06-14 13:54:43
2
user3055222663602 :
nawapenda mnooo mpe hongera kipenz wema kaniliza adi sijui nalia nn tumefurah adi tunashindwa kujizuia
2026-06-14 09:56:48
4
luly josh :
hongera mammyloo wa whozu
2026-06-14 18:35:53
0
hamisaiddy100 :
hongera my love
2026-06-15 17:02:53
0
evodia s ,,k :
waoooooh ❤️❤️💕❤️💕❤️💕❤️
2026-06-14 18:41:30
0
Aflai :
ongera zake
2026-06-15 10:08:59
0
princess so💖👌 :
Hongera sana
2026-06-14 11:43:43
0
🎀🧸Rosette briane 🎀🧸 :
Congratulations wema🥰
2026-06-14 04:47:50
6
unmention :
mungu akutunzie kipenz
2026-06-14 13:21:17
1
Lissa 4rea💫💋 :
Hakika mungu ashindw na jambo ongera kipenz naamin ipo xiku na mm ntaitwaa mama🥰🥰
2026-06-14 06:25:17
4
Rita chindano :
félicitation maman wema
2026-06-14 03:20:15
1
Pascaline :
mashallah💗💗💗💗💗💗💗💗💗💗
2026-06-13 21:25:58
1
chimama🧸 :
wow 🧸🧸
2026-06-13 20:49:19
1
Neema :
mungu akulinde weema na mtoto wako
2026-06-14 06:08:18
1
To see more videos from user @amara0811, please go to the Tikwm
homepage.