@gramfat: #haitiennetiktok🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹😍😍😍😍 #viralvideotiktok #creatorsearchinsignt 💯💯💯🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹💯💯🇭🇹💯🇭🇹💯💯💯🇭🇹🇭🇹🇭🇹🇭🇹

margofy
margofy
Open In TikTok:
Region: HT
Saturday 13 June 2026 23:42:58 GMT
188
11
2
0

Music

Download

Comments

makendor.theo
Zoe delmas Zoe :
Delmas tetglass
2026-06-14 10:04:12
1
robenson.bien.aim3
Tiben Bien Aimè :
🥰🥰🥰
2026-07-18 02:10:32
1
To see more videos from user @gramfat, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

NYAMACHUNGU ●Jamani jamani jamani!!, hilo jina lisikutishe, hii product inaitwa NYAMACHUNGU  lakini ukweli ni tamu haswaaa.  ●Hiki chakula kinapikwa bila mafuta, yaani nyama inaachwa ijipike yenyewe na viungo vyake, inaachwa iiive taratiibu na kwa ustadi uliotukuka....  ●wale watu wa Diet, wapenda Vyakula visivyopikwa na mafuta, wenye Maradhi yanayowazuia kula nyama iliyopikwa na mafuta sasa hii ndo product yenu ●Na surprise kuu ya hii product ni kwamba nyama inapikwa kwenye vyungu asilia....Nadhani wengi wetu tumemiss na tunafahamu namna chakila kinavyokuwaga kitamu kikipikwa kwenye chungu. HAYA NISIKUCHOSHE NA MANENO MEENGIII, WACHA TWENDE KWENYE BEI NA PACKAGE YENYEWE SASA: 1) NYAMA YA NG'OMBE  A) KG 1= 25,000/= Nyama bila side dish (Maximum watu 2)      KG 1= 30,000/= Nyama na side dish (Maximum watu 2) B) KG 2= 40,000/= nyama bila side dish (Maximum watu 4)      KG 2= 48,000/= nyama na side dish (Maximum watu 4)          Note: Side Dish unachagua kati ya MANDI, PILAU, BIRYANI RICE, MANDI NAZI, CHIPS,  NDIZI, AU MIXER YA CHOCHOTE KATI YA VILIVYOTAJWA HAPO 2) NYAMA YA MBUZI A) POSHENI/PORTION NDOGO= 25,000/= Nyama bila side dish (Maximum watu 2)      POSHENI/PORTION NDOGO NA SIDE DISH = 30,000/=    (Maximum watu 2) B) POSHENI/PORTION KUBWA= 40,000/= Nyama bila side dish (Maximum watu 2)      POSHENI/PORTION KUBWA NA SIDE DISH = 48,000/= Nyama na side dish (Maximum watu 4)           Note: Side Dish unachagua kati ya MANDI, PILAU, BIRYANI RICE, MANDI NAZI, CHIPS,  NDIZI, AU MIXER YA CHOCHOTE KATI YA VILIVYOTAJWA HAPO 3) KUKU WA KIENYEJI  A) MMOJA MZIMA= 35,000/= Nyama bila side dish (Maximum watu 2)      MMOJA MZIMA= 40,000/= Nyama na side dish (Maximum watu 2) B) WAWILI WAZIMA = 60,000/= nyama bila side dish (Maximum watu 5)      WAWILI WAZIMA = 68,000/= nyama na side dish (Maximum watu 5)          Note: Side Dish unachagua kati ya MANDI, PILAU, BIRYANI RICE, MANDI NAZI, CHIPS,  NDIZI, AU MIXER YA CHOCHOTE KATI YA VILIVYOTAJWA HAPO ANGALIZO!: KUTOKANA NA HII PRODUCT KUWA NA MAANDALIZI YANAYOCHOKUA MUDA MREFU NA YA TARATIBU SANA, UNASHAURIWA KUWEKA ODA SIKU 1 KABLA , HATUTOWEZA KUPOKEA ODA YA PAPO KWA PAPO...NATUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAO SABABISHWA NA UTARATIBU HUU:

About