@official_idrissy: #officalidrissy #official

official_idrissy
official_idrissy
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 03:34:01 GMT
463612
47498
601
416

Music

Download

Comments

cakesbylee8
cakesbylee :
Mtoto anacheza pembeni mkono wa kulia 🥰
2026-06-14 05:01:03
809
misally_0
sally@02 :
yooooh🥰hii feeling uwa ni ya ajab sana mtt akicheza hongera Tanzania sweetheart 🥰
2026-06-14 13:17:55
139
lioness.068
Iamkerubo💜 :
watanzania tafhadhali let this lady celebrate in peace ✌️pls 🙏 🥰❤️congratulations to her 👏 💖
2026-06-15 19:45:08
1
malisa___01
malisa🦋 :
Nyiee nimeona mtoto anacheza😳
2026-06-14 12:47:34
84
priget.mmari
Priget Mmari :
Mbona kama tumepigwa na kitu kizito
2026-06-14 15:58:15
60
mc_cessy
Mc cesy :
kama wema kapata mtoto huu mwaka mimi nitapata kila nachotaka huu mwaka
2026-06-14 06:49:27
799
novahub.255
Madam Nova :
wanaosema mimba feki hawaoni mtoto kacheza hapo upande wa kuliaa
2026-06-14 14:22:02
63
salmamajele
salmamajele :
hadi pua ilibadilka kidogo🥰
2026-06-14 12:05:55
8
linetjohn56
🦋Lynnette🦋 :
Mtoto anacheza tena wambea wanasema amefake mimba..mna kazi wambea
2026-06-14 08:47:32
42
user7331696201819
Noel@_starr :
nimeona ka baby kana cheza jmn 🥰🥰
2026-06-14 14:00:12
22
userv2tbhatdrp
Khamisàa Khadji :
tuachane na tumbo ambalo hamuliamini basi angalieni ata pua jaman hamuioni ilivyo umuka 🥰
2026-06-14 17:41:46
20
dorcaskombo387
Dorcas Kombo :
hak mm pia nmeona mtoto anacheza mkono wa kulia hak mungu n mwema🤲🏾🙏🏾🥰🥰🥰🥰🥰🥰💃🙌
2026-06-14 06:26:34
36
zaynab.yusuph
Zaynab Yusuph :
dah mtoto kacheza hadi nimesisimka dah
2026-06-14 12:20:38
5
tiver.store
Tiver Store :
Jamani nimeona mtoto anacheza waooo hivi wambea hii hawajaona bado😂
2026-06-14 07:02:09
286
nancie1590
💫melyn🍒🫆 :
yaaani badala ya kufurahia na mwenzenu mnasema kafake jamani binadamu dah😏
2026-06-14 09:30:24
6
twinklemuse1
twinklemuse 🦋🧸💫 :
Wema inabidi atuluhusu tuje kumuona mtoto wetu jamni Yani Kama Mimi nilikuwa na Imani nae
2026-06-14 04:47:22
30
shillah.mideva6
Shillah Mideva :
congratulations wema
2026-06-14 17:22:00
0
user7856613741494
mmk kyl :
macho zangu jamani yani I do much concentrate adi naona mtoto anacheza tumboni upande wa kulia 🤸🤸🤸🤸
2026-06-14 08:28:39
11
gwese24
gwese@24 :
sasaiv mtoto Tu ni wa wema WA jux hatuna Hana ya uangalia sura Ake aendeetu kufichwa sasa ni mtoto WA taifa tu
2026-06-14 05:56:07
22
user2306721505571
@neycute🦋 :
Sara wa Ibrahimu alizaa akiwa na miaka 92 hakika Mungu ana mambo makuu sana ☺️☺️☺️☺️
2026-06-14 17:20:44
5
angel.silas2
Robbysuperbeans :
Yaan watu wasioamini waangalie hii video mtoto anacheza mkono wa kulia kina tomaso mpo🤣😆🥰
2026-06-14 07:14:01
18
akinyi028
Akinyi :
Wenye wanasema ni fake jamani hamuoni ata moto akicheza upande wa right.
2026-06-14 17:03:29
5
angelchris28
angel🧚 :
5/5🥰
2026-06-14 10:38:26
1
steven.lorenzo32
Steven lorenzo :
50/50
2026-06-14 15:01:43
1
didamusliih0424
Khasam0424 :
Mbn mama ake ajaonekana kwenye video yyte mpk sasa🥺
2026-06-14 20:44:34
0
To see more videos from user @official_idrissy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About