barikiwa sana broh wachache sana wenye moyo kama huo🫵
2026-06-14 10:48:57
25
𝐃𝐈𝐖𝐀𝐍𝐈_𝐓𝐙 :
huwez kufanya hivi nisikufollow
2026-06-14 10:04:30
17
BERNARD JR :
ubariikiwe munguakupe zaidi yaulichokitoa
2026-06-14 10:21:00
11
Dhulhijja Bilali :
blessed
2026-06-14 10:05:12
3
mangira :
hongera sana kwa kumlinda ndugu yako, huo ndio undugu.
2026-06-14 14:32:06
7
Emanuel stanely :
Lipa mema kwa mema 🙏🙏🙏 mungu akupe moyo huo huo
2026-06-14 16:33:23
7
Prince Elly Official👑💰💸 :
Hongera kaka kuwa na moyo huo
2026-06-14 14:20:13
6
HILARY.TZ :
kwenini au Mimi nani nikunyime like🥰🥰🥰🥰
2026-06-14 10:01:12
8
chuckson01 :
One love kwaheshima
2026-06-14 12:02:18
1
Capt foxtrot☠️ :
respect ,
2026-06-14 10:23:23
1
happy wambi :
hongera kwa moyo wako
2026-06-14 17:11:50
1
🇰🇪 KIR🇰🇪 :
brotherhood family. maisha marefu barabarani kaka
2026-06-14 10:43:49
8
le 20 :
asante sana kk ili kuwa mimi
2026-06-14 10:07:56
83
Martha W ᥫ᭡.ִֶָ𓂃 :
Mungu awabariki wanaume wote ❤️.
2026-06-14 15:58:08
12
user7319126820929 :
Asante kaka ndo uwanaume huo tunapambana kwa aji ya familia zetu🥰🥰🥰
2026-06-14 17:44:50
16
From the river to the sea :
Huna haya brother huo ndio udereva Mungu akuzidishie kila la kheri
2026-06-14 10:42:34
17
Sophy🦋bby🦋❤️ :
na wewe unalindwa na nan??
2026-06-14 11:10:04
11
uwesumpondo :
Mashaallah Mashaallah Mashaallah Safi Sana Ndivo Madereva Tunatakiwa Tuwe Namna Hii Tupendane Kwani Ukimlinda Mwenzako Nawr Utalindwa Ndivo Ilivo Pia Wote Tunalindwana Mungu
2026-06-14 11:36:24
17
To see more videos from user @abdulmzirai1, please go to the Tikwm
homepage.