nina hizo sifa zote ila shida ni kwamba nikipanga langu nikikaribia tu kulitimiza linanijia tatizo linavuruga mipango yote. hasa nikieke ela nifanyie jambo fulani likikaribia tu linakuja tatizo la kumaliza ile pesa yote why and how to solve it madam
2026-06-14 15:27:13
6
johnte :
watu wa nyumbani madharau na lawam a saa zote I choose peace acha nijitenge mbali na wao
2026-06-14 20:04:58
1
ladystar ๐๐ :
mama mbn wani sema mm tena๐๐๐โค๏ธโค๏ธ