@pmkabola: @Pantaleo...."sayuni.com"

p-michael
p-michael
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 05:15:01 GMT
88405
5994
484
527

Music

Download

Comments

user56096522612347
Sophia :
Asante sana baba mungu akuongezee maisha ufike miaka 120.
2026-06-16 11:07:06
57
johar7175
Johar :
baba mitano tena
2026-08-22 08:25:37
6
janetbundala328
Janet Bundala :
wasukima wenzangu hoyeeee😁😁😁
2026-06-15 23:09:15
9
user3401229674927
k brand tz :
daa Mzee upo vzur San sana
2026-08-19 12:33:18
9
user2384258510093
facilitator Mumba :
Kama unaamini Mzee kaongea ukweli Gonga like hapa🥰🥰
2026-06-19 15:59:04
31
user4705041408180
user4705041408180 :
huyu mzee siyo mzanzibar ana akili sana atakuwa mbara huyu🥰🥰
2026-06-19 07:24:18
14
sailfbs07
Fbs07 :
wazenji wakatiwe umeme mwezi mmoja tu
2026-06-17 20:35:31
8
nuuna092
Ashura yassini092 :
unabusala san baba mungu akulinde san
2026-08-22 19:23:35
5
adeodathapancras
Adeodatha Pancras :
Asante sana baba mungu akujalie afya njema,busara zako nitunu hapa duniani mungu alikuweka kama zawadi
2026-06-17 08:40:21
13
membar.gg
candy love :
Mungu akulinde sana. kwamaneno yako mazuri
2026-08-18 07:23:09
7
waitwaiting5
Mercy❤️ :
Na sisi tunakupenda baba mwenye akili zake timam
2026-06-17 10:35:20
41
sarah.kidd148
sarah kidd⚘️🕊 :
MZEE mwenye HEKIMA na busara sijawahi kuona, zanzibar nzima huyu ndio mwanaume lijali
2026-08-19 19:53:38
17
venus.jr4
Venus jr :
Mungu akujaalie pepo yenye heri Shekhar wangu
2026-08-07 08:32:39
5
captainshenzi06
captainshenzi6 :
mzeeee shikamooo
2026-06-16 21:02:52
5
allymalesa
Ally Malesa :
mmmmh ila Mzee umeongea point mwenye kuelewa ameelewa, relax Mzee wangu unapaswa kuwa kiongozi
2026-06-16 21:12:46
24
husnavungwa
Husna vungwa :
Amina shekhe umeongea point mnoo
2026-06-17 14:28:36
6
yohannaaliki
MWAITE :
MWENYEZI MUNGU AKUJALIE AFYA NA AKUPATIE MAISHA MAREEFU SHEHE
2026-06-17 18:05:20
6
user2939998747939
daudi :
Baba uko vizuri sana, endelea kuelimisha watu
2026-06-16 19:38:20
6
salash60
emmy salash :
Mungu akutunze mzee wetu🥰🥰
2026-06-16 09:38:40
5
babytiffah27
Ajmana bae 🌹🫀 :
baba mungu akupe maisha marefu na ukoepushane na mashaka yote mabaya ya dunian
2026-06-16 21:22:15
7
neemampoyo3
Neema :
Allha akulinde na kila aina ya husda, maana baadhi ya wazanzibari wanadharau sana utadhani wamekamilika.
2026-06-16 19:58:18
5
jullydaim
Jully Daim :
Leo watakuona mbaya ila watakumbuka shuka kumekucha
2026-08-26 19:07:47
4
hamisibadrmohamed
Hamisi badr Mohamed :
nakubali mzee
2026-08-18 16:53:18
3
mxalijana
@mxalijana :
kwahy mukijiweza munauvunja muhungano🥺
2026-08-20 20:57:15
2
user596115390
Emmy love😘 :
umesema point sana baba
2026-08-22 21:33:11
3
To see more videos from user @pmkabola, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About