Nadhan kwa magar ya sasa oil inachukua muda mchache kufika kila sehem ya engine ndani ya nusu dakika. kusubiri RPM ishuke n kwa lengo la kuhakikisha engine imefikia joto ambalo ni OPTIMUM kwa ajili ya smooth and maxmum performance with efficient fuel consumption ya engine na hapo engine inakuwa tayar kwa ajili ya kuendesha hata kwa high RPM.
Sikuizi pia inashauriwa unaweza washa gar baada ya nusu dakika anza kuendesha taratib ili engine ipate joto haraka kuliko kusubiri mpaka joto lifike juu lenyewe.
2026-06-14 07:47:42
8
@Eng_amos :
Je kama gari haishiki silence
2026-06-14 06:36:49
2
tendeni ibada :
amuna unachobjua
2026-06-14 09:53:40
0
MackBrand :
kama dashboard haina Rpm
2026-06-16 17:46:03
1
cananistaelica :
good idea
2026-07-11 01:01:50
0
26 JIMMY LEMAH DESIGN 🧱 :
sahihi
2026-06-14 14:06:50
0
Willison46 :
safi kabisa
2026-06-14 14:49:23
0
shakiraomondi :
thank you 💕
2026-06-25 12:19:15
1
Mzee wa ngoto :
je kuna dereva niliwahi kumuona akiwasha gari akiwa amekanyaga accelerator ili kuipa support engine je ni sahihi?
2026-06-24 17:34:02
0
Luke Mi..! :
hili nalo nilikua silijui
2026-06-14 09:59:17
0
dorahpassing :
sawa mwalimu
2026-06-25 09:05:22
0
@officialphina2 :
haraka inatuponza aisee
2026-06-25 16:59:21
1
The seed of GRACE ❤️❤️. :
Ndio ndio
2026-06-26 14:40:52
0
FRANK 🌴 :
Au sio kwaiy umeona kuongezeka ni bigdeal san et 😁