@kawanga18m: NJOMBE❤️

Kawanga18M
Kawanga18M
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 06:04:25 GMT
176574
18032
610
184

Music

Download

Comments

dumasmart
#iamlucyduma#@ :
pamoja na ulemavu wake ila bado anajivuta na mtoto wake kweli mama ni mungu wa pili,,,mungu nisamehe ninavokulalamikia kwa kukosa mahitaji yangu,,, mpe kwanza huyu mama mi nitasubili
2026-06-14 07:43:36
486
issanho.jr
Issanho jr :
Tufanye jambo apate hata baiskeli
2026-06-14 08:02:31
311
mushtak_j
Aysher J🍎 :
Nitampataje jamani huyu mama?kawanga ukiona hii comment naomba unijulishe nitakavyompata inshaAllah 🙏
2026-06-14 11:02:18
60
gloriangailo
Glory_Ngailo :
ila wanaume mungu anawaona🥹🥹🥹🥹
2026-06-14 06:14:06
94
gracejohn2517
Grace John :
huyu sasa ndo anaitaj msaada zaid jmn🥺🥺
2026-06-14 06:21:57
91
tony.robinson63
Tony Robinson :
Eeh mungu Anza na huyu Mimi nitangoja🤲🙏🥹
2026-06-15 16:35:23
15
meddy_topsellah
meddy topsella :
au mimi kilizi mbn nalia 😪🙏
2026-06-17 22:14:34
8
richengineer8
Rich Engineer Auto Spare🤝🛠️ :
Wakina mama MUNGU Sijui aliwapa Nini Aisee wana MOYO saafi Sanaaa ♥️🙏🙌
2026-06-14 12:18:42
9
juliety.mgendi
juliety mgendi :
Mtot anamiaka6???
2026-06-14 09:37:46
15
laica1179
laica :
Mungu sina cha kukuomba mpka umbariki huyu mama
2026-06-15 13:56:25
14
nailafengu
Mama Nu²🫂👣 :
mngemfanyia mpango wa baiske 😫😫😫😫
2026-06-14 06:24:19
8
nitha_store2
NITHA STORE🛍️ :
Mungu mimi nitasubiri naomba uanze na mama yangu huyu🙏😭😭😭😭😭
2026-06-14 15:08:56
14
kevoo.cjn56
KEVOO :
Mungu ambariki na kuendelea kumtunza mama pamoja na familia yake na kumpa riziki za kila siku
2026-06-14 06:13:16
26
user1019400715661
Ana Keijage :
MY GOD mtazame uyu mama, naamini utamkutanisha na watu sahihi wa kumseidia
2026-06-15 18:38:10
5
dr.sillah8
young sillah :
Ukitaka kujua umuhimu wa mama basi tazama video hii🙏🙏🙏
2026-06-14 16:33:14
5
user5832196965872
nasdy 💞❤️‍🔥 :
mungu ulinipa uvumilivu nitavumilia anza na mama huyu kwanza🥹🙏🏼🙏🏼
2026-06-14 11:20:11
5
juliety.mgendi
juliety mgendi :
Duuh bc kama alitamani mtoto kuitwa mam na mungu kasikia kampea mtoto baba hudumia mtoto jmn mam asipitie haya yote duuh🥹
2026-06-14 09:36:53
7
ces9019
Cessie Regnassy... :
uwiiiii😭😭 nimelia mm jaman Mungu nisaidie...Tumsaidie huyu mama jmn hata kwa upendo wetu japo kdg...sijui km mmeguswa km mm..
2026-06-14 11:34:43
6
user5176866626095
monny :
content zangu ni za kiwango cha ju MUNGU akubariki
2026-06-14 06:31:13
5
tinner1143
tinna😇 :
eee mungu nisamehe sana kama niliwah kukulaumu kususu wazaz wangu 🙏
2026-06-15 19:27:37
0
kachirikachirii
Dogo kachi :
Ee mungu wasaidie walemavu wote 😭😭😭😭😭
2026-06-17 10:23:49
2
allah.wakbar58
ROHO SAFI 💛💚🤍💙 :
mkuu mungu awee anakupambania uchukue tuzo ya dunia
2026-06-18 10:28:31
2
quarantine.the.co
quarantine the COVID-19 :
nahisi kulia🥺🥺
2026-06-15 17:52:29
3
mr_.pappy1
PAPPY FRANKIE 💎 :
kaka tunaomba namba zake😥
2026-06-18 14:48:29
2
To see more videos from user @kawanga18m, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About