@sukumadance: Katika utemi wa Busiya, mambo ya kushangaza yanatokea. Na niliheshimiwa kualikwa mwaka jana kwenye sherehe ya Sabasaba. Mambo ilikuwa 🔥🔥🔥🔥 Maisha ya kitamaduni yanasherehekewa na vikundi vya ngoma za kitamaduni vinakuja na kucheza. Natumai kuweza kushiriki tena mwaka huu.
Manongu
Region: DK
Sunday 14 June 2026 06:23:07 GMT
Music
Download
Comments
sam cm :
sukuma to the world
2026-06-15 08:08:55
10
0711251229 :
kwani huyu anapatikana mkoagani
2026-07-20 09:27:15
2
Gangamala Dalus :
obhejah sanah
2026-07-13 12:51:28
2
TONNY :
upo vzur
2026-06-16 21:40:57
2
Ibrahimu Msolah :
Obhejhaa whababa
2026-07-09 11:15:14
1
Imakulata Onesmo :
nipo mbali .. napataje frash za nyimbo hizi za nyumbani?
2026-07-20 20:27:03
1
jephta joseph :
upo bujora
2026-06-14 08:59:11
3
The Next Billionaire 💸💪 :
2026-06-14 22:01:42
1
Yusang Tz :
wakukaya kisesa ,
2026-06-15 12:28:32
5
Leonard :
safi sana kaka
2026-07-09 12:11:34
1
Samuel :
huu wimbo mzuri sana umetulia
2026-07-11 09:31:31
2
Helen Ngesela :
safiii
2026-06-16 11:58:13
2
💫jakotz💫 :
Napenda sana
2026-06-15 15:48:22
2
user2510416188169 :
hapo sawa wasukuma juu sana naipenda ile nyimbo ya kisukuma katoliki
2026-06-15 11:24:13
3
Mussa Mhwela :
ubarikiwe
2026-06-15 23:09:46
1
Jeremiah :
... nazunyaga bhasukuma bhichane🙏🙏
2026-06-14 19:37:22
2
Jihelya Motor's :
..sebhaNtale..
2026-06-15 05:05:33
1
Ngusa JN :
Namuona hapo Mr Gambaseni
2026-06-14 07:44:36
1
chakudeka💎Simba fäwner🩸🦋🔵 :
jmn kwani burabo ni umesha isha? nimemic kwenda kuangalia ngoma jmn 😁😁
2026-06-21 13:50:49
0
Jeremiah josephat :
shinda kaka hujib sms
2026-06-15 06:07:56
0
Shushu B :
manongu give us option for download these SUKUMALAND traditional songs , why can't download?
2026-07-18 13:27:46
0
Elias Fimbo :
good bless you kaka anafanya kazi kubwa Sana kupaisha kisukuma ngaroo
2026-07-31 07:43:44
1
Rebecca mboje :
wasukuma taifa kubwa mitano tena🫡
2026-08-03 19:49:57
1
Ney :
Kwa Chief makwaia
2026-07-04 17:33:45
1
Genevieve :
wiki ijayo lazima niende bujora
2026-06-15 10:29:01
3
To see more videos from user @sukumadance, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.