@rodifelix16: Unajua kuwa muigizaji huyu aliwahi kuwa Yuda kwenye filamu ya Yesu, lakini sasa ndiye mfalme wa usaliti kwenye Hollywood? 🤯 Ian McShane—kutoka kuusaliti ulimwengu hadi kuwa bosi wa wauaji kwenye John Wick. Huyu jamaa ni msaliti au ni genius wa kuigiza? 😂👇 #MovieFacts #IanMcShane #JohnWinston #MicroTV #SiriZaFilamu "

Lord_FELICIAN🤴
Lord_FELICIAN🤴
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 06:46:33 GMT
24115
680
43
50

Music

Download

Comments

careen291
rama gama :
sasa si yuda kwnn asitusaliti?
2026-06-14 11:29:02
12
petersonmtweve
Peterson Mtweve :
like father like son😓😥
2026-06-14 08:43:10
5
user9591123838162
Ibrahim mwalami :
Yuda
2026-06-14 10:44:20
4
emmyonly1
@iam_emmyonly :
yuda kweli kumbe
2026-06-14 12:27:38
5
japhari36
JAPHARI :
duuu
2026-06-14 13:04:51
1
queenice015
Queenice :
Nilijua tuu usaliti ni usaliti
2026-06-14 12:49:46
4
fabianmwingira
Fabian :
amepata lana
2026-06-14 11:59:50
1
dannybeyonce2
Danny beyonce :
😂😂😂😂 Mm hayanihusu
2026-06-14 08:07:16
2
leviathan9276
Leviathan :
ss amekusaliti nn😜😜
2026-06-14 12:23:37
1
mnama.fashion.wea
Mnama Fashion Wear :
sasa kama aliweza kumsaliti mwenye haki anashindwa nini kusaliti kinyeo chake
2026-06-14 13:26:33
1
ethankimario
Ethan :
ushasema kaigiza kama yuda we unayegemea nn
2026-06-14 10:09:56
2
jeniphsandy
it's Jenifer🌹🌹💞💞 :
jamaa kawa msaliti mazima 😅😅😅😅
2026-06-14 07:00:53
4
lucykulwah
C H A U P O L E 🥰 :
tulijua tu macho yake😂😂
2026-06-14 08:22:45
2
the.ney.g.officie
The ney øg ☑️ officiel :
kama unamini uyu Kaka ngonga copa Svp
2026-06-14 07:18:35
2
the.ney.g.officie
The ney øg ☑️ officiel :
🥰🥰🥰
2026-06-14 07:18:25
1
chidd123
ramoo nails💅 :
kwhy uyo Jesus wa movie shoga daah
2026-06-14 13:27:15
2
To see more videos from user @rodifelix16, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About