@al.mahdi256: @MuhammadOkashaBadjie 🇬🇲🇬🇲🇬🇲 #القرآن_الكريم #recitationcoran #quran #okashabadjie #gambian_tiktok🇬🇲

AL Mahdi
AL Mahdi
Open In TikTok:
Region: SN
Sunday 14 June 2026 09:00:04 GMT
20176
4829
103
138

Music

Download

Comments

ebrimaokasha22
Ebrahim Okasha :
Ana waa Gambie 🇬🇲
2026-06-14 15:52:02
4
diha14nyang
DiHa :
sura Baqara ❤️
2026-06-14 12:19:29
3
user8130363403479
B girl 💞🥰306 3743 :
my Favourite okasah
2026-06-14 09:45:22
4
haddymbowe8
One Africa Rekkk ❤️❤️ 77 :
Masha allah Takbir Takbir Takbir 🙏🙏🙏
2026-06-14 15:21:29
2
neverstops20
Sabdulie🤍 :
Ma sha Allah our Gambian brother 🙏
2026-06-14 10:00:20
2
ramatoulie.camara1
Ramatoulie Camara :
Masha Allah
2026-06-14 18:59:00
0
fofanehnodeboss
haalal boy Fofanehno :
mashallah
2026-06-14 11:56:52
1
user7303096947185
user Sol T :
mashaa Allah ❤️😢😢😢
2026-06-14 18:59:51
0
mahamadou.diakit97
Mahamadou Diakité :
حفظك الله يا حبيبي
2026-06-14 14:37:35
1
user4932955846266
حسن :
ما شاء الله يا شيخ، جزاكم الله خيراً. ❤️
2026-06-14 18:46:11
0
sunucompte0
Sunu compte :
2026-06-14 13:25:36
1
dalla.samabali
D S :
سبحان الله وبحمده سبحان الله العظيم
2026-06-14 13:36:37
1
ndeye499
Ndeye :
Allah
2026-06-14 17:20:35
0
abdijuma82
Abdi Juma :
mashaAllah
2026-06-14 16:46:53
0
zongo.abassse
Zongo Abassse :
ماشاءالله 🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-14 09:52:40
1
cheikhcou
cheikh بوجابر :
Machallah ❤️❤️🥰❤️
2026-06-14 12:55:24
0
kaddysonko777
Kaddy Sonko :
mashallah mashallah ameeen ameeen 🥰🥰
2026-06-14 13:59:57
0
hallil.kouyat
Hallil Kouyaté :
thank you bro
2026-06-14 11:46:42
1
user3385842967281
user3385842967281 :
ماشاء الله 🥰🥰🥰
2026-06-14 14:52:24
0
youssoucoly761
Youssou Coly :
machalla
2026-06-14 14:00:23
0
ahmadou.drame51
AMADOU.DRAME221 :
Machalla
2026-06-14 17:33:50
0
user9440471161349
user9440471161349 :
Mashallah 🥰🥰🥰🥰
2026-06-14 16:01:33
0
user4472320575329
user4472320575329 :
. أطال الله عمرك
2026-06-14 19:06:40
0
assatou.gnassy
Baby Aisha :
Machallah 🙏🙏🙏♥️♥️♥️
2026-06-14 16:27:23
0
mercibeaucoup711
drame saloum :
yalanala yalla defal diam si barkep al khourane 🥰🥰🥰
2026-06-14 15:01:10
0
To see more videos from user @al.mahdi256, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

USIMSAHAU BWANA MUNGU WAKO Neno la Mungu linatuonya wazi: Angalia usimsahau Bwana Mungu wako Kumbukumbu la Torati 8:11–18 Na tena linatukumbusha kuwa Mungu ndiye anayekupa nguvu za kupata mali Kumbukumbu la Torati 8:18 Wapendwa, mara nyingi tunapofanikiwa, tunasahau chanzo cha mafanikio yetu. Lakini Biblia iko wazi ukimsahau Mungu, hata ulichonacho kinaweza kupotea. Historia inashuhudia: Waisraeli wakamsahau Bwana Mungu wao, akawatia mikononi mwa Midiani Waamuzi 6:1 Walimsahau Mungu Mwokozi wao  Zaburi 106:21 Hii inatufundisha kuwa kusahau Mungu huleta mateso, lakini kumkumbuka huleta wokovu. Siri ya kurejeshwa: Yakobo alirudi Betheli (Luzu), mahali Mungu alipomtokea Mwanzo 35:1–3 Eliya alirudi Horebu, mlima wa Mungu 1 Wafalme 19:8–18 Musa alirudi Sinai (Horebu), mahali pa mwito wake Kutoka 3:1; 19:1–3 Maana yake ni hii: ukikwama, rudi kwenye mwanzo wako wa kiroho. Onyo la mwisho la kiroho: Umeuacha upendo wako wa kwanza  Ufunuo 2:4–5 Nakukumbuka upendo wako wa ujana wako, ulivyonifuata jangwani Yeremia 2:2 Mungu anathamini sana mwanzo wako usiuache. Hekima ya maisha: Usisahau ulipotoka Usisahau waliokusaidia Usisahau misingi iliyokujenga Zaidi ya yote, usimsahau Mungu Mfano wa maisha: Biashara nyingi huanza vizuri uaminifu, huduma bora, bidii. Wateja wanajaa. Lakini baadaye ubora unapungua, nidhamu inapotea, na watu wanaanza kulaumu uchawi. Ukweli ni huu: mara nyingi tatizo si uchawi, bali ni kusahau misingi ya mwanzo. Siri ya mafanikio endelevu: Kumbuka chanzo chako Linda uhusiano wako na Mungu Dumu katika unyenyekevu Mafanikio si kufika juu tu, mafanikio ya kweli ni kudumu juu. Ukiona mambo yanabadilika, usilalamike rudi mwanzo. Mungu wa mwanzo bado yupo. Anaweza kurejesha kila kitu, ukimkumbuka tena.

About