turkey had a good team but disappointed with their performance
2026-06-14 10:06:24
0
user6753812178673 :
courage moun frère Good Job ☺️🇨🇩
2026-06-14 09:55:11
3
fimbo gady :
upo live boss au
2026-06-14 09:57:05
2
user4561666968668 :
kweli
2026-06-14 10:43:52
0
gate keeper :
hunatofaut na mimi
2026-06-14 10:54:44
1
Barça 100% PK :
kweli
2026-06-14 13:08:31
1
vinoxian :
hata mm
2026-06-14 09:52:21
1
R A F A goal zone🥅⚽️ :
Leo nimekua wakwanza like zangu jamn
2026-06-14 10:15:26
1
Kinyix spekii :
n kwel maana me mwenyewe duh nlilala sjaona mech ya asubuh,,
2026-06-14 10:04:01
1
Rashi mae :
Sema nini mwangu TUR katembea na mikeka yetu
2026-06-14 12:14:08
1
Charite Kamondo :
vraiment
2026-06-14 10:13:03
1
Canzila 🇲🇿💯🇹🇿 :
I also kaka duuuuh
2026-06-14 10:47:54
1
Conte de 26 :
Jamani alieangalia mpira tuachr masihara kuna timu zina kaba vizuri sana
2026-06-14 10:22:46
4
Ge Tozzy :
xkutarajia ichi kitu
2026-06-14 09:53:13
3
@gael :
muhind atamaliz tigo pesa
2026-06-14 10:23:19
1
Anania Chitete :
ambao tunaamka mudaa tujuane
2026-06-14 09:58:56
0
Kendrick Kiza🇨🇩🇦🇺 :
Australia mupo apa 🤣
2026-06-14 10:08:21
1
El Martin1205 :
waturuki wametulisha leo at GG hajatoa
2026-06-14 09:59:24
1
Mr. khalfan :
Turkey hawana utayari tu ila wapo vzr
2026-06-14 09:56:49
1
Smartphone station tz :
wale Australia kama wangecheza Kwa kushambulia basi wangeshinda nyingi kwasabab mashambulizi Yao mengi ni ya haraka na ndio maana yalikuwa yanazaa matunda sema wanajifanya arsenal kukaa nyuma team nzima ndio maana uturuki WALIKUWA wanaposses sana mpira
2026-06-14 15:26:31
0
Mr. Nonchalant 🌀 :
ligi bora sio kigezo cha team ya taifa kuwa bora mfano ligi ya naigeria vs Tanzania
2026-06-14 10:08:10
0
To see more videos from user @creez_favors_, please go to the Tikwm
homepage.