@frankmavura: Unajali sana 💔💔💔 huo si udhaifu bali ndio nguvu yako kuu, siku moja utampata atakayekujali kama unavyowajali wengine 🙏🏽 #fyp #life #Love #frankmavura #Relationship

Frank Mavura
Frank Mavura
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 10:05:01 GMT
7569
867
41
27

Music

Download

Comments

akanshier897
bari3@ha098 :
Ni vizuri kuendelea kujali, lakini ni muhimu pia kuweka mipaka (boundaries) ili kulinda afya yako ya akili na hisia zako. Kujali wengine kusikufanye ujisahau wewe mwenyewe.❤️🫂🙏🏿
2026-06-14 10:09:20
6
minahabdallah82
oddo minah :
😭😭😭😭😭😭sina la kusema zaidi ya Alhamdulillah
2026-06-14 11:06:39
5
2sabejannette
2sabe'@tz :
Asante 🙏
2026-06-14 13:07:28
2
viv.dee8
Vivienne 🇰🇪 :
amen 🙏
2026-06-14 10:11:11
2
asu_496
Asumoney 💲💱 :
Stay Kind But Stay Aware 💯
2026-06-14 10:32:34
3
qntex.king
Qntex King :
Rafiki katika maisha 😞🫂
2026-06-14 10:54:54
3
gabrielmwakalenge
GABRIEL MWAKALENGE :
nina swali Negative have u ever smoke
2026-06-14 13:55:00
1
mwarab90
Ibrahim Aziz :
shukran sana bro...ujumbe huu umenikuta wakati sahihi sana..much respect
2026-06-14 20:22:28
1
magembe746
magembe :
asnte
2026-06-14 10:49:06
2
shuudecharming
kiduapril🪷 :
Asante kaka 🥰
2026-06-15 03:00:44
0
jessy1queen
Jessy Paul :
Rafiki yangu katika maisha 📌
2026-06-14 13:32:04
0
mr.edge56
Mr Edge :
Inshaallah
2026-06-14 23:14:52
0
user738296431
sway Asia 😍🥰🥰 :
asante baba 🙏🙏🙏
2026-06-14 15:15:41
0
bintimbeyumwalimu
Ummu Swabrina 🦋✨🤍 :
Huyo ni mimi😓😔
2026-06-14 16:45:58
0
p825142
p gangstar :
Ahsante
2026-06-14 19:38:57
0
mbaramwezi1
mbaramwezi_tz :
amen
2026-06-14 17:17:32
0
fettymmoja
Sweet love :
inaumiza sana, unajikuta unatua upendo sehemu ambayo haukutakiwa kutua, kwa maana haukuthaminiwa Wala kujaliwa🙏asili itulinde wote wenye upendo
2026-06-14 12:58:03
1
dallas39935
Dallas8/24 :
Kweli kbs ni that’s was
2026-06-14 18:06:48
0
humanity_stillexist
OneKindWorld™ :
mi nakuombea kwa Mungu tu kaka angu uishi maisha marefu uendelee kutupa mafunzo zaidi. God bless you 🙏
2026-06-14 19:39:56
0
mauwa852
🦋Dachou 🦋🇧🇮 :
unanifanya moyo wang uwe na amani kaka yangu mungu akubaliki
2026-06-14 11:55:09
2
raishitz2
raish##tz :
kaka
2026-06-14 12:33:08
1
skyner06
skyner0 :
🤐🤐✨️
2026-06-14 10:20:35
2
aitanguo7
Samweli :
🙏🙏🙏🙏
2026-06-14 18:22:43
0
mic78773
Mic :
🤝🙏🙏
2026-06-14 18:42:04
0
To see more videos from user @frankmavura, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About