@melody_gospel: Hii imewagusa wengi , kuona mtoto anamkoa Mama yake alipojaribu Kujilaza barabarani ili agongwe, Lakini mtoto aliweza kumuokoa mama .Hakika Mungu Yupo . 😔#creatorsearchinsights #gospel #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyatiktok🇰🇪 #goviral

𝗠𝗲𝗹𝗼Đꪗ 𝘎𝘰𝘴𝘱𝘦𝘭 🩵
𝗠𝗲𝗹𝗼Đꪗ 𝘎𝘰𝘴𝘱𝘦𝘭 🩵
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 10:16:55 GMT
296144
18140
197
292

Music

Download

Comments

lwairly
wairly🎀🌸🦋 :
😭😭😭 mommy please stay
2026-08-02 17:12:22
1
verahmreal
Verah😍🥰 :
i cant sop watching
2026-08-02 17:04:54
1
kip.too03
I'M Kiptoo :
may I be that responsible dad, such that my wife and children will always say let me talk to my husband, he will sort this out. 🙏🙏
2026-08-02 14:47:21
17
melissanisha905
Esy💜 :
😭😭 God please protect them from evil purposes not to suffer again or cry😭
2026-08-01 15:01:57
2
papasit32
papasit32 :
This mum should really live for this boy...lt shows even in future he will surely protect her...may God give mothers strenght coz any broken mum there's a broken child
2026-08-01 20:03:39
15
neykisese
Golden angel🥰 :
ujue kwa maomb yko,,,,, my infant will be fine
2026-08-01 12:49:04
0
priyozzy
it's 🦋fry :
😭😭 hakika Kuna muda watoto usimama kututetea nakumbuka Kuna siku mume wangu alikuwa akinipiga ila mwanangu wa kiume wa miaka minne alisimama katikat yetu na kumwambia baba ake muache mama angu Kwa ukalii sana na aliniacha 😭😭😭 mwanangu akanishika mkono akanibusu na kulala miguuni pangu sikujua alikuwa na kitu gani moyon mwake ila mpaka sasa mwanangu ajawahi kuacha kusema baba alimpiga mama angu hadi shule anawaambia walimu nataman nimsahaulishe lakin imeshindikan 😭😭😭😭
2026-08-01 07:08:49
40
mamuh.tz2
Mamuh Tz 🇹🇿🇴🇲🇸🇦🇶🇦 :
kuna watu wamechoka ila wanawaza wakikata tamaa nyuma kuna watu wanamtegemea 😭😭😭😭
2026-07-29 22:24:21
84
mwanaa20
Pinket_20 :
Mungu nijalie nisipitie kipindi hiki tena mbele ya mwanangu😭
2026-08-01 16:30:04
7
user0699006285
jessie💕💕 :
mpk nimetokwa na machizi😭😭
2026-07-29 06:12:15
24
abreankitutu318
QEENS PARTY TZ 🥳🥰🥰 :
amen😭😭😭
2026-08-02 08:15:30
1
000zulfi9
Dazuuh🧢🔐🥰 :
This song make me cry 🥹😭😭
2026-07-30 18:50:07
8
sam.jordan07
Sam Jordan :
🙏🙏🙏eee mungu mupeuyu mtoto nguvu nakuwa mwema kwaduniy
2026-07-31 20:31:54
9
lunprincess25
lunprincess25 :
kitu pekee ambacho unaweza kumzawadia mwanako nikutomzaa kwenye generation kama hii💘📌
2026-08-01 08:52:55
5
angelbeaut10
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Kipindi napitia maumivu💔siku moja mwanangu alishuudua machozi 🥹yangu akanifuta nikaapa sitakuja kulia mbele ya watoto wangu Tena na nimeweza kuwa mama Mzuri kwao 🥰
2026-08-02 07:58:24
5
tudaa100
tudaaa :
uyu mtoto Mungu nikizie wangu naomba hiyo neema yesu wangu
2026-07-31 15:52:20
7
jimsonmwamengo
Jimson Mwamengo :
dah mungu amlinde huyo mtot aendelee kua mweny hekima
2026-07-30 17:59:00
8
anniah87
Anniah✨🔥💖 :
dah inauma sana jamani , Mungu amutie nguvu mama huyu maana siyo maumivu kidogo kupotezea watoto watatu kwa wakati mmoja 😭😭😭
2026-07-30 16:53:36
8
williamkibona287
William Kibona :
nakupenda xn mama
2026-08-02 15:45:23
1
sarafurah1
☺️😇🥰😍 :
amena
2026-07-31 11:32:17
1
cathybaby27
Cassie 💕💙 :
Sina chkusem Ila mungu mpe moyo waujasiri huyu mam
2026-08-01 06:24:44
1
vee.mack8
Vee.Mack :
sijui Nini kilitokea ila wanawake tunapitia mengi pole sana dada.. Mungu akufute hayo machozi
2026-08-02 12:04:15
1
specialphetty
🌸special phetty🌸🤍 :
naalisema mama nikikuwa nitakujengeaa nyumba nzul😭😭😭😭 niliiona hii video 😊🥹♥️
2026-08-02 16:12:36
2
To see more videos from user @melody_gospel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About