@freddiehealthcare: matunda na mboga za majani si tiba ya changamoto ya mmeng'enyo au matatizo ya tumbo ni kinga kabla ya tatizo ili kujiepusha na changamoto za tumbo kama wewe ni muhanga wa vidonda vya tumbo,acid reflux, choo na gas tumboni tibia changamoto yako kwa tiba sahihi huku ukitumia mboga za majani na matunda kujikinga na changamoto isiweze jirudia #creatorsearchinsights2026 #creatorsearchinsights #tanzaniatiktok🇹🇿 #freddiehealthcare #tiktokhealth