@dr..sulle02: #fypシ゚viral #ryf #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #usa🇺🇸

DR. SULLE02
DR. SULLE02
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 10:35:21 GMT
450644
26340
469
4241

Music

Download

Comments

felixochiri
General :
Shaikh we pia badilisha kazi😅
2026-06-16 12:06:34
54
tripple.m65
Tripple m :
comfortable zone is very dangerous for real😂😂
2026-06-15 16:42:52
2
sallylome0
sallylome0 :
l agree with you 💯
2026-06-17 09:03:22
1
harunareguregu
h.r.n.👏👏👏🌹 :
good news
2026-06-17 09:29:11
1
user8635519386170
user8635519386170veronica wahu :
na ndoa?
2026-06-16 11:04:48
8
peterolwichi
Peter Olwichi :
Hii ya kuhubiri umefanya miaka ngapi na unaplan kubadilisha lini
2026-06-16 13:29:14
16
_tingtingofficial15
TING TING 🦬 :
Umejaribu kuambia wakamba😂😂😂
2026-06-17 11:41:14
8
user6678268448808
daudawes :
hivi ndivo nilimwambia baba tuliuze shamba tuhame hataki ona sasa tuko maskini🥰🥰🥰
2026-06-15 09:39:09
5
muemaka
God wonders :
hii nayo ni kweli tangu nihame ploti nimeishi miaka nane mambo yalichange ,sikuhizi naishi kwa ploti miezi ikizidi mwakka nahama
2026-06-16 07:15:08
7
bernaldkanepela
bkanepela :
nime kuelewa sana dr.sule ubarikiwe kaka.
2026-06-18 07:10:49
2
palmsayuni
PALM SAYUNI GEN.ENT.... :
unasema kweli uhishi milele Nakupenda saaana
2026-06-15 06:39:54
7
irenerenet2
Irene rene :
ukweli
2026-06-16 16:41:45
2
mkagatikidake
calebkidake :
Ata ndoa
2026-06-18 09:53:07
0
masterbwanama
Master b wanama :
kweli kabixa
2026-06-17 18:54:48
2
myahudi876
Myahudi Mtulo :
Umesema kweli japo hatuipendi iyo kweli
2026-06-15 16:38:55
10
user622807400517
cadette fikiri ismael :
niukweli mimi niliishi beni /Rdc niliteseka namtoto akafa kule tulipoamuwakurudi goma kwetu mungu alitushangaza alhamdoullilah tuko vizuri
2026-06-16 13:09:30
5
herbertmweni
kingpin :
izo kazi zenyewe hakuna
2026-06-16 07:26:06
8
naomimasato25
miss naomy25🇹🇿🇴🇲 :
kama mimi nilivyo hama kwa kina ndoa sasaiv niko zangu uarabuni naosha vyoo
2026-06-17 15:59:15
1
hassanngareevans
HASSAN NGARE EVANS :
Allah atuongoze katika njia anoyoipenda na stara kabla ya mauti kutupata
2026-06-17 18:36:22
1
angelinenjeri284
angelinenjeri132🇰🇪🇴🇲 :
Na ndoa???
2026-06-17 04:05:30
4
jackline.okoth4
Jackline Okoth :
sahihi shekhe
2026-06-16 16:18:31
2
user3693118863971
mbarikiwalydia :
Nahama nimegonjeka vya kutosa kukaa pahali pamoja
2026-06-17 13:27:09
2
keinan194
keinan :
kwan kazi na kubadilisha eneo ndo linakufanya kuwa tajiri, au ni mwenyezi mungu ndo anapangilia viumbe vyake ni yupi awe tajiri na yupi awe masikini, shekh hapo naona umekosea, maana kuna watu wameenda mpaka ulaya lkn tupo nao hapa na ni masikini wakupindukia na kuna watu wamaziliwa vijijini na wamekuwa matajiri huko huko vijijini bila hata kuhama, mwenyezi mungu anampa neema zake ampendae
2026-06-16 05:49:36
1
user7614154129527
Donniel :
hiyo kazi yakubadilisha iko wapi
2026-06-15 17:53:05
2
To see more videos from user @dr..sulle02, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About