Uaminifu Uaminifu Uaminifu ni utajiri Mkubwa sana Tena Sana.
2026-07-25 06:02:54
19
Eminem♤ :
Huo wema mi sina😂😂😂
2026-06-14 15:32:18
120
black sneiper🫡 :
aisee asante sana brooo ngojanikupigie chapu
2026-06-14 16:50:57
167
hidaya abdul :
Kwa mala ya kwanza nimeona Kuna watu
2026-06-15 06:24:09
102
thecla🍫 :
mungu nisaidie mungu nisaidie kakusaidie unaleta usenge
2026-06-14 21:33:54
48
Lil money :
ukiona hivyo limemkuta jambo
2026-06-16 18:27:37
26
ngotyP :
hii movie inaitwaje
2026-06-15 06:58:36
26
Nayoom💃🏽 :
Uvivu wa kua tajir
2026-06-15 06:54:30
27
mom suuh🌹🍭🍭🍭 :
kaka mungu atakulipa
2026-06-15 03:19:36
19
user247108028017 :
km ni kweli Mungu hatakuacha
2026-06-15 05:28:39
9
agness_tz :
kumbe wasamaria wema bado wapo
2026-06-14 21:38:08
9
Mr wisdom TZ🇹🇿 :
mungu akulinde sana siku maana hii nikali
2026-06-15 05:15:17
10
penina 686 :
uwo wema mi sina nenda kamuulize amina
2026-06-14 20:22:40
8
Mohammed Mkumba :
upo sawa umeona mbali sana ila wenye tamaa awatakuelewa mungu akujaliye
2026-06-16 09:27:11
8
Happiness John :
umefanya jambo nzuri sana lakini wenye matamanio watakudharau na kukucheka
2026-06-16 13:55:56
12
Jaz :
Hofu ya Allah ni karama....Allah aendelee kukuongoza na kukubariki, usipungukiwe na lolote lililo jema
2026-06-15 04:05:45
10
d0g0 mkari45 :
huyu jamaa inshaallah mungu atampa utajir sababu mungu anawapenda watu kama hawa sababu watu wahivi niwachache sana
2026-06-14 23:57:24
16
jesca mlgo :
huyu ni mimi kabisa naogopa sana pesa z huvi
2026-06-14 19:24:45
13
nicekulwa :
Kaka wema ni akiba mwenyez mungu akubalik kwa utu ulio nao uishi maisha malefu akuongezee kipato Mala dufu na mwenyez mungu akutendee mema ili na wengine waige utu ulio nao pesa zinaisha ila utu auishini milele mpka milele
2026-06-15 09:31:01
31
husein tall. :
wacha kuongo kutafuta follow
2026-06-14 17:44:47
5
To see more videos from user @1travel8, please go to the Tikwm
homepage.