Someone had to say it Thank you sana elimu ifike mbali
2026-08-02 09:14:23
0
Now 👉⌚ :
Doctor vp kuhusu matumizi ya soda kama Coca-Cola na Pepsi ni hatari au?
2026-06-15 05:24:55
16
n0x_fed0we24 :
health is the wealth for real 🙏
2026-06-15 11:34:17
15
kemidollar_ :
Bado wale wa gym wanao tumia protein powder.Mungu tusaidie magonjwa yekuwa mengi sana
2026-06-14 17:13:25
5
sofie21 :
Dr mi nna100kg diet imenishinda sina pressure Wala kisukari but situmii soda Wala bia hata juice nna allergy na sukaribut nimnene and am 27yrs niambie am I at risk? but siumwi umwi ila mwili ss
2026-06-14 18:15:46
8
🤪AGIL🤪 :
samahan bro....kutumia energy 2-3 per week je ni mbaya Sana?
2026-06-14 12:35:58
11
Mwamfumu :
Dr naptia postpartum anxiety
2026-06-14 13:57:36
8
zmdoe :
asante sana daktari unatupa elimu kubwa sana bila kuchoka Allah akubariki sana
2026-06-14 13:52:59
27
Mr_G_•°• :
DR hizi elimu watu wengu walikua hawajui hongera sana
2026-06-14 12:50:09
79
mac_0xy :
Dr . kwenye dialysis Kuna Epo na other medicines .. Kwa Bei ya chini in a month ina range 250k to 500k or more
2026-06-20 11:43:17
2
Digestive Solution ® :
📍 Life style Nzuri na Check Up Mara kwa Mara Mazoezi - Consistency 📍
2026-06-14 14:15:19
10
lucy njobelo :
daaah huwa nakuelewaga San Dr ila sijawahi kucoment,,,umeongea ukweli mchungu,,big up broo 100%
2026-06-14 12:26:31
7
elsvido :
Hello Dr. Naomba unijibu je Kuna shda inayotokana na
1. wale wa gym wanao tumia protein powder.
2. je, dialysis haipo kwenye bima???
2026-06-14 19:49:55
8
user5781081667241 :
asante
2026-06-15 11:12:20
1
Rodjan Horse :
Shukran sana Doctor
2026-06-16 20:16:23
1
farajaimpact_network :
Ni rahisi kusema au kujibu lolote tukiwa wazima tunatembea…Mungu aturehemu tu Ahsante sana Dr.
2026-07-29 04:32:09
3
Steve Mwamengo :
Liko jona moja tulilopewa lipitalo kila kitu..
YESU KRISTO ni JIBU..!!
🙏🙏🙏
2026-07-23 18:21:41
1
meglane :
ubarikiwe doctor
2026-06-14 18:52:46
1
sakina :
ninakupendaga sana kaka unaongeaga ukweli
2026-06-15 03:03:20
2
lizymtawa :
Mwenye macho na aone na mwenye masikio asikie asante sana
2026-06-14 17:51:14
6
Fred Rickel :
Hello Doctor, unaweza tengeneza video kwa wanywaji wa Diet sodas or zero sugar sodas, na impact zake kwenye mwili?? Especially kama huyo mtu ni mnywaji mzuri wa maji( normal water sio pombe)
2026-06-14 11:20:55
4
Shamy :
ni kweli❤️
2026-06-14 11:47:19
2
furahmwambia :
Asante sana Dr kwa elimu nzuri wachache tunakuelewa sana, mungu akubariki
2026-06-15 21:24:42
0
Dr.Ally Mgonza :
Thank u doctor...
2026-06-15 04:37:37
1
To see more videos from user @dr.issambashu, please go to the Tikwm
homepage.