Ila iyo ni kwelii nilikua na ngozi nzuri mnoo nikashauriwa nipake vitamic c na cleansing gel weeee😂😂nimepata chunusi atariii🙌alf kuna watu wanamsema uyu kakaaa 😂 kuna muda aanaongea vitu point😍
2026-06-14 11:06:42
7
🦋 ~BETTY 💕💕 :
Hiyo hapana
2026-08-05 08:07:58
0
Jackline :
naomba unisaidie dr face cream nzuri na lakini uso wangu ni wamafuta napata chunusi pia
2026-06-19 12:38:37
0
charming gal💕 :
Nimenunua licorice face cream nimetumia day 2 siielew anaetaka nimuuzie
2026-06-23 23:09:40
0
my💖💖 :
jmn me mweusi na sitak kujichubua na uso Wang wa mafuta na chunusi nitumie roshen gan
2026-08-11 18:26:21
0
rosemarymlowola :
Nataka nije dukani kwako
2026-07-14 18:54:05
0
Naa Ulawa :
nahitaji hiyo fis kirm uso wangu ni wamafta
2026-06-14 11:16:09
1
Laidina :
duh mimi nd nilikuwa nadangany nitumie sabun ya vitamin c n uso wangu wa mafuta ahsante kwa ujumb
2026-06-19 08:32:12
0
Lyidiah :
doctor uso wangu una mafuta kidogo naweza tumia sabuni gan na face cream gan ning'ae
2026-06-16 07:52:35
0
ashuu!!🥰🥰 :
asanteee sanaaaaa kwa ushauriii
2026-06-14 11:36:36
0
MRS ME🔐🫂❤ :
Jmn natmn nije ntoe ushuhuda ck moja ❤️
2026-06-14 11:17:43
0
💞sweetie lily💦 :
vp kuhusu serum yk inafaa kwa madoa
2026-06-14 20:05:38
0
Salama Mohammedy :
iyo vitamini c ya sabuni pia noma
2026-06-17 19:34:30
0
Lizzy kamonyela :
uko sahihi nilishawahi kuchukua set nzima ya Dr rashel uso wa mafuta kilichonikuta nilijutaa Bora hiyo helaa ningenunua nguo ningekuwa navaa hadi saiv
2026-07-19 16:08:43
1
Imelda_mapunda :
Face sera
2026-06-17 08:56:36
0
AgroWear Enterprises :
ukwel icho ni kibomu
2026-06-15 04:23:54
0
Naa Ulawa :
hupatikani
2026-06-14 11:18:30
0
Ruth Joëlle :
jamb
2026-06-15 13:33:26
0
Jackline Lumato :
skin Mila shingap na unapatikana wap😊
2026-08-03 14:09:28
0
Nil- hath :
Kaka nisaidie jmn
2026-09-10 14:48:59
0
Magreth Kamhabwa :
Hiyo haifai hata kidogo🙌🏻
2026-06-14 16:35:07
0
Dyna 🍏 :
Ilinifanya kazi hiyo dr rush😅😅 nlikuwa sitembei mpk ngozi imepona
2026-06-14 12:04:40
0
johariaron0 :
vitami c inafaa kupaka mda Gani maana mm ndo ninayotumia ila usowangu hauna mafuta Wala Sina asili ya chunux
2026-06-14 11:10:49
0
Gracious mfinanga :
kuna mtu kasema fis kirim😁tusomeniiii
2026-07-10 23:26:54
0
To see more videos from user @dr_katema, please go to the Tikwm
homepage.