@rematv_online: Video inayosambaa kwa kasi ikimuonesha mwanadada anayedai kuwa @wemasepetu amechukua mtoto wa watu huko Mwananyamala. JE UNAAMINI KATIKA HILI? #wemasepetuamejifungua #mtotowawemasepetu

REMA Media Group
REMA Media Group
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 11:35:59 GMT
84734
1833
435
134

Music

Download

Comments

fatimamganyi
Mashauzi :
huyu akatoe.ushaidi mahakamani😳
2026-06-14 17:14:35
140
glady6919
glady😇 :
muchulie sheria hyu dada ili iwe fudisho kwa wengine
2026-06-14 17:38:43
72
jvocalist_official1
J vocalist msanii1 :
A FEW MOMENT LETER 😂😂😂NLKUWA NATAFUTA KIKI NISAMEHENII😂😂😂
2026-06-14 19:32:18
1
misskibasa
[email protected] :
mkichukuliwa sheria mnaanza kujifanya oooh ilikua content kutafuta atention,
2026-06-14 13:25:46
93
nusura.hamisi2
nusurahamisi37 :
ila sisi binadamu hatupendi furaha ya mtu mwingine roho mbaya tu
2026-06-14 17:11:33
46
cutem416
cute M :
andaa mwanashelia mapema dad na hatutak utuombe msaada
2026-06-14 14:45:37
52
user8100151403bintyaled8
da mwana8 :
aibu mtaona ninyi wema mtoto anae na anatamba nae
2026-06-14 19:04:32
17
nasma.hasan3
Nancy 🇹🇿💕🇴🇲 :
kwa heshima ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania naomba huyu dada awe mfano kwa wengine maana asipochukuluwa hatua kila mtu atakuha na udhalilishaji wake hata kama nikweli kuna sheria zake ila si kuja kumdhalilisha mtu mitandaoni😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-14 17:41:24
17
tatustaha
tatu staha :
uyu dada Kam alkua anataka aende mjini jamn afanywe wa mfano sheria ichukuliwe dhid yake
2026-06-14 19:20:49
9
masawe809
Mrs rechard :
acha kujiamulia mambo alikwambia anatangaza vipindi mpaka ujue
2026-06-14 19:10:34
6
rashy602
lulu💫💎💕 :
namtumia Dr gwajima, walah naapa
2026-06-14 17:49:19
18
vero.stan
Vero Stan :
Zamani wachawi walijificha sana na walikuwa watu wazima ila sikuizi WACHAWI WAPO LIVE MUDA WOTE MUNGU TULINDIE MTOTO WA TAIFA LETU🙏♥️
2026-06-14 17:16:56
12
miriamgilton217
MirryG :
yakikukuta usitulilie binti
2026-06-14 17:42:13
5
mankamassawe774gmail.co1
massawe :
Mama gwajima tunaomba huyu awe wa mfano hamna content ya namna hii ni udhalilishaji
2026-06-14 17:51:42
7
jenipha1751
jenitha :
jmn huyu dada achukuliwe hatua uhuru umezidi tanzania hapa
2026-06-14 13:20:28
10
audrey.family3
Audrey Family :
hv ww dada zimo kwer
2026-06-14 19:38:53
0
dadamuuzamitumba0
BEATRICE 🔥❤️ :
tunarepost
2026-06-14 19:39:45
0
janeth.ezekiel6
jeynah001 :
are you sure
2026-06-14 19:26:43
0
bobseif20
Bobseif20 Baby :
kuna wakati wanatafuta kiki...ktk maisha ila baadae anakuja kuomba msamaha...kwa watanzia na kusaidiwa ela ya mahakamani🙏🏻🙏🏻🙏🏻
2026-06-14 18:02:45
11
ashyssark
Pretty Aynat🌺🦋🌺 :
kumbe Wema kajifungulia mwananyamala😫🧐
2026-06-14 19:38:28
1
mwanaishajumaa463
Mwanaisha Jumaa :
mwenyew aona kamaliza kuongea hapo andaa maelezo ya kutosha binti mana n huruma yajayo huenda yakakusikitisha
2026-06-14 19:53:06
1
juliey542
Kelvin collection♥️ :
kamata peleka mahakaman
2026-06-14 18:34:04
5
safwagirl6
safwagirl :
hv kwan mahakama hamna
2026-06-14 17:41:22
3
ali.said2990
Ali Said :
toka miaka hiyo si age chukuwa mtoto wa watu
2026-06-14 19:37:26
3
amainahjamar
amainah💝🥰 :
ko wema kajifungulia mwananyamala
2026-06-14 19:46:15
2
To see more videos from user @rematv_online, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About