@ashmar_quotes: Kama usingekuwa wa thamani moyoni mwangu, ningekata tamaa kitambo. Lakini subira ninayokuonyesha leo ni ishara ya jinsi ninavyokupenda na jinsi uwepo wako ulivyo wa muhimu katika maisha yangu. Wakati mwingine si rahisi kuvumilia changamoto, kutokuelewana au kusubiri mambo yawe sawa, lakini moyo wangu huchagua kubaki kwa sababu unajua thamani yako. Nakupenda zaidi ya maneno yanavyoweza kueleza, na ndiyo maana bado nipo hapa, nikiamini kuwa kila jambo zuri linahitaji subira, upendo na moyo wa dhati. ❤️✨🥺. #fyp #contentcreator #lovequotes #TrueLove #viralvideo @TikTok @tiktok creators