@chiefgodlovebillionaire_: Mwanamke hakupaswa kufanya kazi wala biashara alitakiwa kufanya kazi ya kumuhudumia mumewe sababu mumewe ndie biashara yake na hata akifanya biashara au kazi pesa anazopata anatakiwa kuhudumia wazazi wake na sio watoto au mwanamke kununua chakula nyumbani anakoishi na mumewe siku mwanaume atakaporuhusu mwanamke alipe kodi ya nyumba anunue chakula ajihudumie mwenyewe alishe watoto wako pamoja na wewe mwanaume ulishwe na mkeo ajinunulie nywele kucha ajinunulie gari pia utatakiwa uruhusu akuletee watoto wasiokua wakwako nyumbani kwako kumbuka Adam alivyolala hawa akaamka na njaa akaenda kushawishiwa na nyoka ale tunda mungu alilokataza wakafukuzwa eden mwanamke ni mpokeaji mtumiaji sio mtafutaj Wapeni wanawake zenu pesa msije laumu watu shauri zenu mwanamke ni Kama ua anatakiwa kuhudumiwa
tunafnya kaz kwasababu nyie mnatuzarau sana au mnatuacha tukiwa watupu hatuna pakwenda
2026-06-14 16:27:58
1
CHIEF KHALIFA :
huo ndo ukweli chief
2026-06-14 17:52:18
0
Wizabulambu Magashi :
Ameandika Msanii wa Filamu Rammy Galis ✍️"Nilijifunza kuwa MASIKINI ana kelele nyingi ili aonekane TAJIR , lakini tajiri wa kweli ana ukimya mwingi kwa sababu hana cha kuthibitisha kwa yeyote yule .
.
Kufanikiwa hakuji kwa kupiga kelele mitandaoni au kuvaa dhahabu ili kila mtu aone. ”Inakuja pale unapoweza kukaa meza moja na watu wanaotafuta mia tano na ukawa heshimu .
.
Mafanikio yako ni SIRI , wape watu matokeo ili wakijiuliza umewezaje, umepataje, umefanyaje ndio yawe maswali yao moyoni na Hilo daima watakupa heshima usoni .
.Usipo heshimu 💰 ndogo , Ukipata kubwa UTAPOTEZA."
F.O - RAMMY Galis
2026-06-15 09:27:55
0
LUKASS hamis :
kweli kaka
2026-06-14 16:25:47
0
FÄZZY_ BÏSHÖÖ OFFICIAL 🤟🧋🌍 :
👍👍👍
2026-06-14 12:50:11
0
Paula Kahambu :
🥰🥰🥰
2026-06-14 22:25:43
0
muuh💫 mr cash :
🔥🔥🔥
2026-06-16 06:22:44
0
Mr logistics ✅ :
🔥🔥🔥
2026-06-14 17:28:16
0
Iano mwas :
🥰🥰🥰🥰
2026-06-15 14:06:49
0
It’s Me Mwalami🌹 :
🔥🔥🔥🔥
2026-06-14 18:48:56
0
Ally boy :
🥰🥰🥰
2026-06-15 14:49:05
0
FÄZZY_ BÏSHÖÖ OFFICIAL 🤟🧋🌍 :
😁😁😁
2026-06-14 12:50:11
0
MZUNGU :
💯💯💯
2026-06-14 12:40:58
0
Sam Chamiti :
🙏🙏🙏
2026-06-16 09:53:04
0
To see more videos from user @chiefgodlovebillionaire_, please go to the Tikwm
homepage.