@airtanzania: ATCL ikiandika historia nyingine kwa kutua katika Kiwanja cha Ndege cha Musoma na kukaribishwa kwa zoezi maalumu la water salute kwaajili ya kufanya majaribio ya kutua na kupaa kwa ndege (Test Flight). Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa akiwa mgeni rasmi wa tukio hilo ambapo ni hatua muhimu katika kuimarisha usafiri wa anga na kuchochea maendeleo ya kiuchumi nchini. Hafla hii inaonyesha dhamira ya Serikali ya kuendelea kuboresha miundombinu ya usafiri na kuongeza fursa za usafiri salama, wa uhakika na wenye kuunganisha Watanzania zaidi.

Air Tanzania Company Limited
Air Tanzania Company Limited
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 12:39:59 GMT
124755
4474
36
50

Music

Download

Comments

zaks185
zaks :
very disappointed today with the flight TC 212 going to Lusaka / harare..5 hour delay without any compensation . not even assuring customers to offer discounts on the next booking . very poor service..5 hour delay without any genuine reason and they just say sorry ..
2026-06-16 12:53:25
2
msluciie
Ms luciie❣️🇹🇿🇵🇱 :
final home sweet home 🥰🥰🥰
2026-06-16 12:24:10
4
omona398
uwendwe :
wapi iyo
2026-07-06 21:24:38
0
reubegab118
Reubegab118 :
Dar to Mwanza bei gani?
2026-08-13 20:33:54
0
gibbs16111
gi.bbs16111 :
good
2026-06-20 19:55:53
0
user5105275121165
Joyce mashaka :
Naiona musoma jmn
2026-08-15 21:42:43
0
ellies972
💞 Ellie's 😘🥰 :
Nauli kutoka mwanza kwenda arusha ni shingap kwa Air Tanzania
2026-07-24 05:46:44
0
efx.waar.boy
Efx waar boy :
najuaa ai wausuu nimee pata nida
2026-07-16 09:18:46
0
ayrarouh8
@ayra🌹rouh :
kwan kapo kamoja t au😁
2026-07-30 11:49:52
1
boscosambosco
sam :
amna k2 apo
2026-06-19 09:58:43
1
magari_mtoni
magari_mtoni :
safi
2026-06-17 20:14:59
0
caroline.mgaya
Mgaya d :
nauliza dodoma to iringa shingapi?
2026-07-15 19:52:58
0
japhetstephano339
......... :
nako kuna terminal ngp
2026-06-17 12:12:37
1
madagaa12
madagaa12 :
hv Bado Tanzania bado tupo hzo mmbo za majarbio🤣🤣
2026-07-21 17:13:13
0
ananias.muga
Ananias Muga :
munanunua ndege lini
2026-06-14 12:49:29
0
angelina.anjelo8
Angelina Anjelo :
dar to bukoba bei gan
2026-08-24 21:46:55
0
zainabjosephat
mtoto wa mama zainab :
ange kuepo magufuli nchi watu wange kuwa na pesa ote
2026-07-09 14:15:57
0
user7474100212923
hildawilly :
naona minar ya mlima mkendoo☺️
2026-06-26 17:23:15
0
rukundor3
rukundor8 :
kigoma hyo kasulu mjini🤣🤣
2026-07-23 17:40:56
0
lovepascal2
Loveness passionate♓️ :
Tumefikiwa sasw
2026-06-16 15:48:11
0
user2112591404056
user2112591404056 :
🙌✨🙌
2026-07-07 13:41:17
0
fatumamohamed9817
Fetty makonde :
✍️✍️✍️🙋
2026-06-17 08:29:18
0
your.travel.agent.tz
Your Travel Agent ✈ 🇹🇿 :
🔥🔥🔥
2026-06-23 11:48:57
0
thugq4
Thug Queen :
♥️♥️♥️
2026-06-25 17:42:10
0
To see more videos from user @airtanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About