@mkulimaenterprises: TUNAUZA MIN POWER TILLER | MASHINE ZA KULIMIA SHAMBA KWA URAHISI NA HARAKA | PETROL & DIESEL 📞 +255 658 375 861 📱 @mkulimasolution @mkulima_solution 🕖 Muda wa kazi: Saa 1 Asubuhi hadi Saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) 📍 Ofisi zetu zipo Tegeta - Dar es Salaam — POWER TILLER ni mashine bora kabisa kwa wakulima wa kisasa. Inatumika kulima mashamba ya mpunga, mahindi, mboga mboga na mazao mengine kwa ufanisi mkubwa. ✅ Inafaa kwa mashamba makubwa na madogo ✅ Inapunguza gharama za kulima kwa mikono ✅ Inaokoa muda na nguvu ✅ Rahisi kutumia na kutunza — 🔧 TUNAUZA POWER TILLER KUANZIA HP 7 HADI HP 15 💰 BEI ZA BRANDS ZETU: Min Power Tiller – TZS 3,000,000 Kubota Original – TZS 11,000,000 Toyo – TZS 7,000,000 Boer – TZS 7,000,000 Kobuta – TZS 7,000,000 Amec – TZS 8,000,000 🛠️ NB: Tiller (jembe la kulimia) linauzwa tofauti na Power Tiller. 👉 Bei ya Tiller ni TZS 2,000,000 — MKULIMA SOLUTION tunauza mashine imara na zenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya shughuli za kilimo. 📍 Tembelea ofisi zetu zilizopo Tegeta - Dar es Salaam, au wasiliana nasi moja kwa moja kwa: 📞 Call/WhatsApp: +255 658 375 861 — #powertiller #mashinezashamba #jembezamashine kilimobora kilimokisasa mkulimasolution kubota amec boer tanzania kilimotz kilimo2025 mkulima MKULIMA SOLUTION | TEGETA - DAR ES SALAAM

Mkulimaenterprises
Mkulimaenterprises
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 14 June 2026 12:56:04 GMT
1558
28
0
4

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @mkulimaenterprises, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About