@wajanjaforum: kabla hawajaondoka duniani, huanza kuaga kwa mafumbo, ndoto, au maneno ya ajabu. Je, ni hisia za mwisho, ujumbe wa roho, au siri ambayo akili ya kawaida haiwezi kuelewa? Wewe unaamini nini? #MamboYaKiroho #HadithiZaAjabu #TanzaniaReels